Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Hiv nyinyi vijana wa dot com mnaijua 1b kwel?...au hata hyo 800 au 600...mnaijua kwel au ndo stor za vijiwen....mtuulize sis wenye mijengo.kwa haraka haraka pale lachaz naweza kwambia na mbwbwe zoote zile haizid 250m......usichanganywe ma zile mbao za pellets pale..zile ukizitaka nakupeleka had wanakouza moja 600..mi ka glocery kangu somwea nimeweka hvyo hvyo kama lachaz...achen ku imagine vtu....

Mbongo anajenga nyumba ya 300m ..anakuja tangazia watu oooh hii 800m...nakaaga nasema dah...
Nashangaa wanaosema 1B, kwa uwekezaji gani pale lachaz, jamani unaijua 1B?
 
La chalz na ndio nilikuwa naenda na hiyo 30,000 - 50,000 na ninatoka salama kabisa. Pesa na iheshimiwe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Nikifika pale naagiza portion moja ya mbuzi na ndizi, mbili. Maji madogo au makubwa na redbul na popkoni zangu. Offer yangu kwa wadada walio kuwa wanajipendekeza kwangu ni buku moja tu, wanajijaza ila ikishatoka hiyo buku ndio nitolee
Ha ha ha....we kumbe hugusi hard drinks eeh, basi ndo maana[emoji848]

Sasa nimekuelewa
 
Kwa wadada sio nzur sana...mdada anatakiwa kuwa ametulia ...

Na sie wanaume hatupend mdada awe kiruka njia..na ndomana huwa hatuwaoi wale tunaokutana nao maeneo kama ya huko tunaoa wale home girl.church girl etc
Ha ha ha ha ha kwahiyo nani atawao hao wenzetu jamani.. si kila mmoja ataoa wa kufanana nae? Kwani nyie machurch boys? [emoji23][emoji23][emoji23] pooh mbaka
 
Ukimaliza ile bar jirani na BIGBON kuna vyumba vya show then kuna njia inaingia kulia ukimaliza frem zile kuna michongoma kuna site moja guest bubu unaipata?
Looh.... najulia wapi?? Miye napenda sehemu tulivu kwaajili ya kula tu. I love foodie[emoji3059][emoji3059]
Some fresh juice[emoji91][emoji91]
 
Madame.. tusibishane sana. Siyo kwa story za vijiweni. Kuna kibiashara chetu tuu tulikiboresha hiyo hela iliyoenda hapo roho inakuumaa sema ndo hivyo unaboresha uweke mazingira poa kama bond ya mikopo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Urio si mjinga. Mjini hatuwagi na biashara moja. Unawekeza huku unahamisha huku. Ujenzi heshma sana.
Sawa mama la mama[emoji119]
 
Majirani wamelalamika kelele so kinachofanyika saivi wanatengeneza lounge ya ndani

ipige mziki ndani kimya kimya sauti isitoke nnje,ni mambo za unoko unoko tu Majirani wamejazwa wakajazika wakakinukisha.

in short area ile unoko ni mwingi sana,ukiingia kuwekeza kwenye sekta ya burudani,Ujipange haswaa.
Yale malive band dj mixing nayo yalizidisha makelele maana huwezi punguza sauti
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni ujinga.
Ila umeumia sana aisee. Seems unalipenda sana hili chimbo.
Mimi pia nimeumia kwasababu ni jamaa yetu na twafanya biashara wote. Jamaa ni mpambanaji. Yatakwisha haya. Sema tunavyoweka midomo hivi ndo kama tunawapa pressure kampuni husika ya bima kuweka uzito aisee. Na ukizingatia ndo mmopo dah
Hii ni kweli tunazidi mtia hatiani asee, may be ni watu wamampigia kiberiti huko nyuma maana pale fitina kama yotee
 
Unafosi tuu kaka....ule usemi wa force tuu mpaka itiki umeusahau...we huon skuhiz wana weng maeneo wanakunywa ngumu...

Mim nikienda mahala sabab sijaoa..80% ya mim kuwa hapo ni women..na 20% ni michongo.hahahahha
Fake fake everything till u make it...[emoji23][emoji23][emoji16]

Wazungu wajinga
 
Hii ni kweli tunazidi mtia hatiani asee, may be ni watu wamampigia kiberiti huko nyuma maana pale fitina kama yotee
Yaaniii. Kuna mipango yake alikua nayo maskini ndo naona sasa inaenda kufa. Maana bank iko mdomoni marejesho. Bima ndo hivi kila mtu anachonga. Na hapo alipo kabaki mweupeee. Mimi sitaki kuwa negative saana kaichoma. Akajiweke kwenye risk yote hii? Presha za marejesho[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ukinywa hiyo maison ya 12 million, inakuwaje ikuwaje ? Ulevi wake upo tofauti na Balimi Extra ?
Maison ni Club mkuu sio pombe [emoji2]
Soma izo hapo
tapatalk_1594830095575.jpg
 
Mi maeneo yangu..kidimbwi..samak samak.sku moja moja mediteraneo..nkitaka ogelea na chungulia biki.ni za watoto wazur naenda pale tanzanite mchana naoooga wee kama bata...

Nkiwa na watu wa maana utanikuta kwenye baa za goba za kiutu uzima...

Naatend sana events ..iwe miss nan sjui..nimo.iwe show wasafi nimo..iwe msanii gan kaja nimo..yaan mim

Maisha yenyew mafup haya dada angu.
We ntakuwa nakufahamu[emoji848][emoji848]
 
Katika mambo huwa siyafanyii mchezo ni kinga..mi ni [emoji91] ndio ila si.tomb bila condom hata siku1...na sichukuag wale wa barabaran au wale ma pro kabisa wa kujiuza...mi madem zangu wa ofisin...vyuon na videm vya mitaan hiv .unakikuta kinauza juice au stationery unabeba..ila kulala na malaya kabisa wale.sjawai
Huhuhuuuhuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Yaaniii. Kuna mipango yake alikua nayo maskini ndo naona sasa inaenda kufa. Maana bank iko mdomoni marejesho. Bima ndo hivi kila mtu anachonga. Na hapo alipo kabaki mweupeee. Mimi sitaki kuwa negative saana kaichoma. Akajiweke kwenye risk yote hii? Presha za marejesho[emoji119][emoji119][emoji119]
Ngoja tuone kifuatacho...
 
Back
Top Bottom