Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

Narudia tena kusema 1 billion ni ndogo kwenye uwekezaji, ingawa thamani yake ni kubwa. Na huko mbeleni kama uchumi wa dunia hauto imarika vyema itakuwa utopolo kabisa hasa kwa wekezaji, maana ma vitu yana panda bei, sitoshangaa miaka kadhaa mbeleni mtu kuniambia ametumia zaidi ya 3 billionkwa club kama La chalz
Bil 1 inaweza kuwa ndogo au kubwa kutegemea unafanya shughuli gani.
Kuna yule mwarabu wa rukwa aliyekuwa anamiliki mabasi ya sumry aliwahi kuhojiwa alisema amenunua mashine mbili kwa ajili ya kuvuna mahindi na kukoboa mahindi na kila mashine imegharimu million 600,jumla ametumia bil 1.2
Kuna mwamba mmoja mbeya mbarali ni mkulima wa mchele alifukia chini mil 400 hivi,mifano ipo mingi tu
Kifupi Kama unapokea mshaara lazima uone bil 1 ni nyingi lakini kama ni mfanyabiashara bil 1 ni pesa ndogo
Binafsi ni mwajiriwa naweza kusema bil 1 ni pesa kubwa mno
 
Ha ha ha....we kumbe hugusi hard drinks eeh, basi ndo maana[emoji848]

Sasa nimekuelewa
Situmii kabisa hizo mambo hizo. Siku moja moja nachukuaga Chamdor, ambayo ni 40 nabaki ka elfu narudi nayo home, ila huwa nahakikisha haizidi elfu 50 na hapo nahapo mtu akinipiga mzinga nampa buku ya maji..
 
Bil 1 inaweza kuwa ndogo au kubwa kutegemea unafanya shughuli gani.
Kuna yule mwarabu wa rukwa aliyekuwa anamiliki mabasi ya sumry aliwahi kuhojiwa alisema amenunua mashine mbili kwa ajili ya kuvuna mahindi na kukoboa mahindi na kila mashine imegharimu million 600,jumla ametumia bil 1.2
Kuna mwamba mmoja mbeya mbarali ni mkulima wa mchele alifukia chini mil 400 hivi,mifano ipo mingi tu
Kifupi Kama unapokea mshaara lazima uone bil 1 ni nyingi lakini kama ni mfanyabiashara bil 1 ni pesa ndogo
Binafsi ni mwajiriwa naweza kusema bil 1 ni pesa kubwa mno
1billion ni hela nyingi sana, hili halina ubishi. Ila kuna kazi ukiitupia hiyo hela lazima ushangae mwenyewe, mbona i akatika kama laki tano 😀😀😀
 
Bil 1 inaweza kuwa ndogo au kubwa kutegemea unafanya shughuli gani.
Kuna yule mwarabu wa rukwa aliyekuwa anamiliki mabasi ya sumry aliwahi kuhojiwa alisema amenunua mashine mbili kwa ajili ya kuvuna mahindi na kukoboa mahindi na kila mashine imegharimu million 600,jumla ametumia bil 1.2
Kuna mwamba mmoja mbeya mbarali ni mkulima wa mchele alifukia chini mil 400 hivi,mifano ipo mingi tu
Kifupi Kama unapokea mshaara lazima uone bil 1 ni nyingi lakini kama ni mfanyabiashara bil 1 ni pesa ndogo
Binafsi ni mwajiriwa naweza kusema bil 1 ni pesa kubwa mno
Na ndio maana nimeuliza hawa wanaosema bilioni moja ni ndogo humu wamewekeza au wana bilioni ngapi?! Sasa mtu leo ukishtuliwa tu 10m haraka haraka huna na wewe unavimba eti bilioni moja ni hela ndogo sana!
 
Bora iteketee tu maana yule mchaga wa La chaaz kala hela zangu saana.

In life you win some... You lose some!
Akili za kibongo hizi mazee, uwivu na husda kama mishetani, unasema bora? Unajua wangapi wamepoteza ajira hapo, ona na likes mingi ulivoipata, wabongo tuna shida kubwa sana manina.
 
Na ndio maana nimeuliza hawa wanaosema bilioni moja ni ndogo humu wamewekeza au wana bilioni ngapi?! Sasa mtu leo ukishtuliwa tu 10m haraka haraka huna na wewe unavimba eti bilioni moja ni hela ndogo sana!
Motivational speaker hao wakisoma jarida za Forbes iyo bil 1 ni ndogo kwao ila wakishamaliza kusoma jarida la Forbes akili zinawarudia wanaanza kugongea buku.
Usifanye masikhara na bil 1 labda baba awe the late mzee Reginald mengi
 
Na ndio maana nimeuliza hawa wanaosema bilioni moja ni ndogo humu wamewekeza au wana bilioni ngapi?! Sasa mtu leo ukishtuliwa tu 10m haraka haraka huna na wewe unavimba eti bilioni moja ni hela ndogo sana!
😀😀😀.. mkuu hapa ni tafsiri ndio imechangesha, hatusemi ni hela ndogo kama kwa udodo wa thamani yake, tunasemea kwa uwekezaji kama ule. Mie kipindi nipo nafurukuta na bado nafurukuta kutoka, nilikuwa nashangaa sana 1 billion, ila nikapata nafasi ya kufanya mradi na mie nikiwa kama head na muidhinisha wa hiyo pesa, hadi nilishangaaa hela ilivyokatika. Hapa tunazungumzia kwenye picha ya uwekezaji.. mie ukinipa hiyo Billion sasa hivi naenda kabisa kuchukua E 450 na sio tena E 350.. na kuvimba na vimba, huenda na club ningeongeza niwe naenda hata na elfu 70, badala ya 50
 
Duh kwahio umekuwa kama mfanyakazi wa bank kumdharau mwenye 1b kisa ana manage akaunti za wenye 100b. Kwa mustakabali huu uko sahihi.
 
Bado hujapata point yangu mkuu. 1 billion ni hela nyingi sana na duniani popote ni hela nyingi sana, sijadharau mwenye 1 billion, na sijawahi kudharau kiasi chochote cha pesa, mie kwangu hata elfu moja ina thamani kubwa. Point ya kusema udogo wake ni ile uwekezaji wake, kuna aiana ya uwekezaji hiyo hela inakuwa ni ndoto kulinga na thamani ya alipowekeza. Nafikiri ni ngumu kweli kupata point yangu, usha amua kuona kwamba naidharau billion au naiona ndogo. Kitu ambacho ni tofauti na mawazo yangu.
 
Back
Top Bottom