macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Bilioni moja Sinza unanunua nyumba kwenye uwanja mkubwa, unaigeuza bar ya nguvu, na chenji inabaki.Mtu apangishe nyumba kama bar atumie bilioni moja kuikarabati! Kwani Sinza nyumba sasa hivi bei gani? Si angemunua tu yake aikarabati.