Sinza maji hayatoki zaidi ya wiki

Sinza maji hayatoki zaidi ya wiki

kwa hisani ya ccm
umoja wa ccm kutoka hamdu shaka hata kemea kushangaa serikali gani yenye utawala wa ajabu !
 
Natamani niyalete huko lakini hawa wagambo wakiuona mkokoteni tu wanameza mate
Taabu kwelkweli
 
Sitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..

Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
Hamia Ruvu kwenye mto Ruvu hutakuwa na bili ya Maji Wala kulaumu Dawasa ni wewe tu na dumu lako kwenda mtoni kuchota bure

Maisha Mara ingine mna complicate bure tu si kila mtu lazima akae mjini.Ni kujitafutia stress bila sababu
Ona Sasa unalalamika
 
Maji umeme kaendanae yuleee mungu amhifadhi na amsamehe kama binaadamu maana hakuna mkamilifu atakumbukwa kwa yote mazuri na mabaya
Sitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..

Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
 
Sitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..

Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
Dah....endelea kutulia mkuu....ndiyo uzalendo huo...awamu ya tano miundo ilitumika sana bila kupumzishwa...ndiyo maana maji Wala umeme havikukatikakatika sana....watu walifanya kazi kwa woga....kwa mujibu wa January....tuendelee kumuombea Mama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭
 
Hamia Ruvu kwenye mto Ruvu hutakuwa na bili ya Maji Wala kulaumu Dawasa ni wewe tu na dumu lako kwenda mtoni kuchota bure

Maisha Mara ingine mna complicate bure tu si kila mtu lazima akae mjini
Ni uzembe wangu mkuu kutokua na vitendea kazi vya kuhifadhia maji kwa siku nyingi kama hivi..ntajitahidi kununua vifaa vya kutosha maana dalili ya mvua mawingu
 
Hamia Ruvu kwenye mto Ruvu hutakuwa na bili ya Maji Wala kulaumu Dawasa ni wewe tu na dumu lako kwenda mtoni kuchota bure

Maisha Mara ingine mna complicate bure tu si kila mtu lazima akae mjini
Dah....mkuu umemsoma mleta Uzi ukamuelewa? Au uko kazini? Maana kuna pingapinga na teteatetea..,.huwa wanasoma heading tu na kuingia kazini 🤣🤣🤣🤣🤭
 
Hamia Ruvu kwenye mto Ruvu hutakuwa na bili ya Maji Wala kulaumu Dawasa ni wewe tu na dumu lako kwenda mtoni kuchota bure

Maisha Mara ingine mna complicate bure tu si kila mtu lazima akae mjini
Aisee!
 
Dah....katika uzembe wako usisahau na kajenereta kadogo 🤣🤣🤣🤣🤭
Word bro,vitahitajika mara nyingi sana na vitakusaidia.
Invest in them,hakika utajipunguzia stress na kulalamika mitandaoni.
These guys(umeme&maji)are competing to disappoint us in every possible way.
 
Back
Top Bottom