coockie monster
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 373
- 724
Wanaupiga mwingi 😂😂😂😂😂Sitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..
Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Sitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..
Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
Respect kwa bimkubwa,anatukumbusha kua ni muhimu kua na ndoo za ziada na majaba ya maji.usichukulie poa jamani nawaambieniWanaupiga mwingi 😂😂😂😂😂
[emoji38][emoji38]Respect kwa bimkubwa,anatukumbusha kua ni muhimu kua na ndoo za ziada na majaba ya maji.usichukulie poa jamani nawaambieni
Sitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..
Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
Nilikuwa na backup ya lita 4,000 nyumba ndogo.. imebidi nikimbilie nyumba kubwa tu sio kwa shida ya maji hiyoWanaupiga mwingi 😂😂😂😂😂
Kuongea kwau uoga au kwa ujasiri hautabadilisha situation yangu kwa sasa..Mbona unaongea kwa uoga hivyo?
Hamia Ruvu kwenye mto Ruvu hutakuwa na bili ya Maji Wala kulaumu Dawasa ni wewe tu na dumu lako kwenda mtoni kuchota bureSitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..
Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
Sitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..
Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
Dah....endelea kutulia mkuu....ndiyo uzalendo huo...awamu ya tano miundo ilitumika sana bila kupumzishwa...ndiyo maana maji Wala umeme havikukatikakatika sana....watu walifanya kazi kwa woga....kwa mujibu wa January....tuendelee kumuombea Mama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭Sitaki kulaumu serikali wala nini,nimeongea tu sababu leo sina hata pesa ya kununua maji kwenye madumu..
Asanteni sana waziri pamoja na dawasa..mmetisha sana
Ni uzembe wangu mkuu kutokua na vitendea kazi vya kuhifadhia maji kwa siku nyingi kama hivi..ntajitahidi kununua vifaa vya kutosha maana dalili ya mvua mawinguHamia Ruvu kwenye mto Ruvu hutakuwa na bili ya Maji Wala kulaumu Dawasa ni wewe tu na dumu lako kwenda mtoni kuchota bure
Maisha Mara ingine mna complicate bure tu si kila mtu lazima akae mjini
Dah....mkuu umemsoma mleta Uzi ukamuelewa? Au uko kazini? Maana kuna pingapinga na teteatetea..,.huwa wanasoma heading tu na kuingia kazini 🤣🤣🤣🤣🤭Hamia Ruvu kwenye mto Ruvu hutakuwa na bili ya Maji Wala kulaumu Dawasa ni wewe tu na dumu lako kwenda mtoni kuchota bure
Maisha Mara ingine mna complicate bure tu si kila mtu lazima akae mjini
Aisee!Hamia Ruvu kwenye mto Ruvu hutakuwa na bili ya Maji Wala kulaumu Dawasa ni wewe tu na dumu lako kwenda mtoni kuchota bure
Maisha Mara ingine mna complicate bure tu si kila mtu lazima akae mjini
He he he ukija kulalamikia Tanesco atakwambia kaishi kwenye pango hamna shida ya umeme....kwasababu hakujawahi kuwa na umeme!Dah....mkuu umemsoma mleta Uzi ukamuelewa? Au uko kazini? Maana kuna pingapinga na teteatetea..,.huwa wanasoma heading tu na kuingia kazini 🤣🤣🤣🤣🤭
Dah....katika uzembe wako usisahau na kajenereta kadogo 🤣🤣🤣🤣🤭Ni uzembe wangu mkuu kutokua na vitendea kazi vya kuhifadhia maji kwa siku nyingi kama hivi..ntajitahidi kununua vifaa vya kutosha maana dalili ya mvua mawingu
Word bro,vitahitajika mara nyingi sana na vitakusaidia.Dah....katika uzembe wako usisahau na kajenereta kadogo 🤣🤣🤣🤣🤭