Kutoka Makaburini mpaka Makaburini tena........................eeeh hii biashara kweli ni ya jehanamu mbona inapendelewa kuweko kweye maeneo haya ya wafu?
mkuu ahsante kwa taarifa maana pale sio mbali na nyumbani!
mkuu ahsante kwa taarifa maana pale sio mbali na nyumbani!
kweli duniani inaelekea kubaya 15 years kishakuwa changu?!
kwahiyo utakuwa unakwenda kama kununua sukari au unga vile?
nini tufanye wajameni maana serikali inaona na kuwaacha watoto hawa wajinadi kinoma.
Tukisema tuhalalishe bongo tutabaki watu wawili tu yaani mie na mke wangu na tukisema tuwakataze hatuna shule za kuwapeleka, vituo wala kazi za kuwapa.