Sinza -MAkaBuRINi

Sinza -MAkaBuRINi

doup

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2009
Posts
2,706
Reaction score
2,861
Nasikiliza Leo tena ya Cloude FM;

Mdau mmoja karipoti, eneo hilo limekuwa hatari sana kwa wawindaji; ukisimama tu na gari wanakuja mbio na kondom mkononi, na promo inapigwa kuna body morphological structure mbali mbali pia.

mdau(Mwanamke) kilichomkwaza alimuona binti wa kati ya miaka 15 hivi pembeni ya barabara kama anataka kuvuka vile, akasima! mara binti akaja mbio kifuwa wazi kuom-oyesha kuwa mzigo ni saa nne. binti alipomwona ni mwanamke alimmpa bonge la mfyonyo!!. Nasikia hapo hakuna kulala mchana na usiku.
 
wametoka makaburi ya kinondoni,wamehamia makaburi ya sinza...hii kazi kwelikweli. tulikuwa tunapata shida tunapoenda kuzika kurukaruka mikondom iliyotapakaa...unaenda pale na maza au dadako mnakuta likondom hiloo limesambazwa.
 
Kutoka Makaburini mpaka Makaburini tena........................eeeh hii biashara kweli ni ya jehanamu mbona inapendelewa kuweko kweye maeneo haya ya wafu?
 
Kutoka Makaburini mpaka Makaburini tena........................eeeh hii biashara kweli ni ya jehanamu mbona inapendelewa kuweko kweye maeneo haya ya wafu?

hapa wanatafuta urahisi...Unajua maeneo haya yanaogopwa na watu hivyo nyakati za usiku huwa yana watu wachache mno.privacy 100% havahitaji gharama za guest house..Pili vishikio wakati wa kazi ni vingi tu...Supports...Naona ndo sababu za kukimbilia maeneo hayo.
 
kazi kweli kweli ,lakini wajameni serikali kweli imeshindwa kuithibiti hii kitu shekilango road yote imeoza sasa hivi kuanzia san nsiro, makaburini, corner bar, hadi hongera ni balaa. sawa tunawalaumu hawa dada zetu lakini hawa hawawezi kukaa pale kama hawana wateja
 
...ndio matatizo ya ajira hewa milioni moja hayo! yaani inasikitisha kwakweli, kuanzaia saa mbili usiku, kigiza kikiingia tu, displays kibao barabarani. Wengine ni wadogo sana, ukiwaangalia hadi unaona huruma. Hivi kwanini tumefikia hapa?
 
mkuu ahsante kwa taarifa maana pale sio mbali na nyumbani!
 
kweli duniani inaelekea kubaya 15 years kishakuwa changu?!
 
mimi naishi Makaburini/sinza. mambo hayo yapo lakini sikiivyo, mambo iko COnner Bar, mambo iko uwanja wa Fisi sasa Uwanja wa sifa, mambo iko Manzese Tiptop kibaa hiki jirani na Ofisi za CCM Pale jirani na Postal office, pale hata demu wa miaka 10 unapata, hahaaa usishangae, bongo Dar es salaam.
 
nini tufanye wajameni maana serikali inaona na kuwaacha watoto hawa wajinadi kinoma.

Tukisema tuhalalishe bongo tutabaki watu wawili tu yaani mie na mke wangu na tukisema tuwakataze hatuna shule za kuwapeleka, vituo wala kazi za kuwapa.
 
nini tufanye wajameni maana serikali inaona na kuwaacha watoto hawa wajinadi kinoma.

Tukisema tuhalalishe bongo tutabaki watu wawili tu yaani mie na mke wangu na tukisema tuwakataze hatuna shule za kuwapeleka, vituo wala kazi za kuwapa.

Msanii kauli zako tata sana.

Kweli hili tatizo ni kubwa na limetengezwa na jamii ikishirikiana na serikali muflisi. Kwa hatua iliofikia hivi sasa ni kama situation ya kwamba 'ukisimama nchale, ukikimbia nchale'. Kwa bahati mbaya hakuna solution ya muda mfupi.
 
Back
Top Bottom