Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Wakuu sasa hii ni too much..
Najaribu kuheshimu watu hapa ambao kimakamo unaona kabisa ni kama dada yangu au mama yangu mdogo ila mambo niliyokutana nayo nashangaa naona sasa ni pepo.
Hivi inakuaje mtu mzima na akili zako unajua kabisa una mume, bado haitoshi una watoto, bado tuu mwanaume wako anatimiza kila haja kwako.
Lakini wewe utosheki unatengenezea vijana mazingira ya kukukula how.
Nilikua napenda sana ila now its too much aiseee. Sasa hadi naogopa kutoa namba au ikiwezekana nifute kabisa namba zangu kwenye hili bango hapa nje..
Vijana wenzangu tupambane sana sana hata kama unapitia mazingira ya ushawishi kama yangu usichukulie mtelezo kuona ni kitonga.
Jua kuna mwanaume mwenzako behind anahangaikia sana hiyo familia.
Lakini nirudi kwa mafaza .. huwa tunazingua wapi mpaka hawa shangazi zetu wanakua hivi,
Kusema ni ubize wa kutafuta pesa au ni nini hasa...
Tukumbuke kuishi wakuu, tusiwe bize kiasi hicho maana tunapoelekea mnaweza kutuua tu wakuu maana kama mimi kuna mazingira mengine siwezi hata kujizuia najikuta tayari nipo ndani ...
Kipindi nachopitia kwa sasa ni kigumu maana nipo najitunza (semen retention) ila naona yatanishinda
Vishu Mtata
Grahams