Sio bahati hili ni pepo sasa, najitoa vipi?

Mkuu acha tuu aiseee yaani hapa nawaza sana aiseee
 
Jiangalie sana kijana. Kumbuka siku za mwizi huwa zinafika kwa wakati muafaka. Hiyo Poor brain yako isije kuja kufumuliwa na wenye mali unaowabia.
 
Watakutawala tu pale unaporuhusu matarajio yao yatimie,Wanaume wengi wanaogopa kukataa kwa sababu demu anaweza kutangaza wewe huna nguvu...hivyo kuondoa hiyo dhana unajikuta unaenda tu ili kukata mzizi wa fitna. Lakini ukijitambuwa wala hutafikiri mara mbili kwamba hiyo ni mbaya,haijengi afya kwa jamii.
 
Kinachokuwazisha ni tamaa zako na kushindwa kukataa, ila ni rahisi tu kukataa.
Tatizo lako ni tamaa, mshangazi ukikufunulia paja tu unajaa.
Mkuu even you kuna mambo kukataa ngumu

Assume leo mchana nusu nusu yule mmama anipe kwa lazima..

Yaan mtu kafunga mlango paaah alafu anaanza kuniuliza kabila langu huku ananivuta vuta mkuu
 
Jiangalie sana kijana. Kumbuka siku za mwizi huwa zinafika kwa wakati muafaka. Hiyo Poor brain yako isije kuja kufumuliwa na wenye mali unaowabia.
Mkuu kuna muda sio mimi ila ni wao ndo mana nakuja hapa kutoa tahadhali kabisa wakuu ...

Najua lolote litakalotokea nyie ndo mtakaonisaidia
 
Mkuu kuna maza mmoja hapa mtaani kanitangazia et mimi namtaka kumbe wala..

Yeye ndo kutwa ananisumbua kwa sms ikifika usiku..

Tena utakuta anatuma na picha za kiuno kavaa shanga..

Sasa mtu ka huyu hata ukimkataa lazima akuchafulie
 
Reactions: M45
Mkuu, unafanya biashara gani, nataka nifungue nione kama watanisumbua?
Anyway pole sana, changamoto ni sehemu ya maisha, lakini usiruhusu hicho kichwa cha chini kikupangie nini cha kufanya.
 
Mkuu, unafanya biashara gani, nataka nifungue nione kama watanisumbua?
Anyway pole sana changamoto ni sehemu ya maisha, lakini usiruhusu hicho kichwa cha chini kikupangie nini cha kufanya.
Mkuu kwenye ku balance genye tuu naweza sema nipo 💯 nime control..

Ila sasa kuna matukio yanatokea mpaka unashangaaa..

Nakutana na watu mbali mbali hapa ambao wengi wanajitoa akili makusudi..

Wanaamua tuu kukupandisha genye ili usiwaache ila sasa unajikuta unakaza

Leo imekua too much mkuu.
Mtu anakuchukua vzr tuu.
Unajua unaenda kumfanyia kazi yake na kusepa .

Unafika Kule unakutana na mambo ya ajabu an ile ongea yake nikaona mtu kabadilika an anahema juu juu mpaka nikaanza kuogopa maana nilijua hapa naweza kukabwa
 
Lakini nirudi kwa mafaza .. huwa tunazingua wapi mpaka hawa shangazi zetu wanakua hivi,
Madingi lai wapo busy kutafuta kula ya familia maradhi ya presha,kisukari na stress za maisha nazo huondoa mshawasha. Pia kuna baadhi ya wanawake kuwapa madingi lai papuchi kwa siku wazitakazo wao.

Mwisho wa siku madingi lai hukata tamaa ya kuomba papuchi na kuamua kutoa huduma kwa familia tu. Papuchi anaipata kwa jini mahaba🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…