Sio bahati hili ni pepo sasa, najitoa vipi?

Daaah hi matrix ni ngumu sana kuelewa mkuu..

Inamaana hata mimi kuna kipindi itatokea hvo hvo an

Sitaki kuamini aisee
 
Mkuu sio mimi aiseeee
Mii naapa yaan takua nakiwasha kama sina akili nzuri dadek
Mkuu tatizo afya ikiyumba hata bololo halitokuwa na nguvu, kuna mshkaji wangu ndio kwanza yupo 20 lakini kisukari kimemfanya abaki kulia tu.
 
Mkuu tatizo afya ikiyumba hata bololo halitokuwa na nguvu, kuna mshkaji wangu ndio kwanza yupo 20 lakini kisukari kimemfanya abaki kulia tu.
Duuuh kaka alifanyaje huyo jamaa mbona hatarr hiyo mkuu....

Mbona unanitisha kaka
 
Mkuu even you kuna mambo kukataa ngumu

Assume leo mchana nusu nusu yule mmama anipe kwa lazima..

Yaan mtu kafunga mlango paaah alafu anaanza kuniuliza kabila langu huku ananivuta vuta mkuu
Mwanaume habakwi bwanamdogo.

We dogo inaonekana una mwili mdogo mdogo sana, howcomes mwanamke atishie kukubaka.??😂😂
 
Wito wangu kwako, hata kama mke wa mtu amekujia usiku wa manane na khanga moja ili umtafune jitahidi kumkwepa

Adhabu za Kulala na Mke wa mtu ni kubwa ukifumaniwa

Kwasisi Wazee, tukikufumania tunawagandisha tu

Mkiniita kuja kuwasaidia kuwatoa, najifanya sihusiki hadi ujate moto 🤗
 
Middle finger is something that ur supposed tu be awarded a 40 years man, (badala ukae na small chicks) wewe ni mimama tu kama mzabzab
 
Kwenye ndoa Kuna "multiple fine ingredients" if one of important element misses, hayo ndyo matokeo, so usilaumu watu wanao deviate from your perceived norms.
 
Mkuu ww ni legend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…