Hivi baada ya kuuliwa Raisi, Rais wa Iran kapatikana? Mbona mchakato kimya sana hatusikii lolote?Sana sana sanaaaaaaaa
Angalizo marekani haijawahi kua na demokrasia
Mbona wewe taifa lako linaongozwa na chura kiziwi, unataka kutuambia katika watu milion 60 mmekosa chura mwenye usikivu ?Sio Biden wala Trump anafaa kuwa rais wote ni wahuni tu
Yaani mnataka kunambia marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa "ving'ang'a" wa hivi vibabu viwili?
Yaani nchi yote wamekosekana watu wenye utimamu hadi wapewe hao vibabu ambao wanatembea na pampas na mirija ya mikojo kwasababu ya uzee?
Pamoja na baadhi ya mambo ya kuigwa lakini marekani still ni linchi la hovyo tu, kidemokrasia bado sana, wana mifumo ya hovyo tu...
Hili jina limeanzia wapi?🤣Mbona wewe taifa lako linaongozwa na chura kiziwi, unataka kutuambia katika watu milion 60 mmekosa chura mwenye usikivu ?
alijiita mwenyewe akiwa ikuluHili jina limeanzia wapi?🤣
Huna akili wewe mjinga[emoji23]Kama Sio Biden au Trump, Kwa hiyo kwa mawazo yako wavaa vipedo misuli na makobazi, Ayotollahs ndio watawale marekani? Tumia kichwa kufikiri Sio kufugia nywele na midevu iliyo shaghalabagaka[emoji848]
Lakini kwa bahati mbaya sana rais wa Marekani anachaguliwa na wamarekani na wala sio na mashehe wa Tanzania.Sio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu.
Yaani mnataka kunambia Marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa "ving'ang'a" wa hivi vibabu viwili?
Yaani nchi yote wamekosekana watu wenye utimamu hadi wapewe hao vibabu ambao wanatembea na pampas na mirija ya mikojo kwasababu ya uzee?
Pamoja na baadhi ya mambo ya kuigwa lakini Marekani still ni linchi la hovyo tu, kidemokrasia bado sana, wana mifumo ya hovyo tu...
Unapendelea angekuwa sheikh Kipoozeo?Sio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu.
Yaani mnataka kunambia Marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa "ving'ang'a" wa hivi vibabu viwili?
Yaani nchi yote wamekosekana watu wenye utimamu hadi wapewe hao vibabu ambao wanatembea na pampas na mirija ya mikojo kwasababu ya uzee?
Pamoja na baadhi ya mambo ya kuigwa lakini Marekani still ni linchi la hovyo tu, kidemokrasia bado sana, wana mifumo ya hovyo tu...
Wanasubiri mkia uliokatwa uote upya kama huwa unaota.Hivi baada ya kuuliwa Raisi, Rais wa Iran kapatikana? Mbona mchakato kimya sana hatusikii lolote?
Wangese wa mudi mnafarijiana....🤣Sio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu.
Yaani mnataka kunambia Marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa "ving'ang'a" wa hivi vibabu viwili?
Yaani nchi yote wamekosekana watu wenye utimamu hadi wapewe hao vibabu ambao wanatembea na pampas na mirija ya mikojo kwasababu ya uzee?
Pamoja na baadhi ya mambo ya kuigwa lakini Marekani still ni linchi la hovyo tu, kidemokrasia bado sana, wana mifumo ya hovyo tu...
Kwamba wewe ombaomba ndo una akili kuliko Wamarekani!? Bangi mbaya sanaSio Biden wala Trump anafaa kuwa Rais, wote ni wahuni tu.
Yaani mnataka kunambia Marekani yenye watu karibia milioni 400 wamekosa wagombea wenye akili timamu na wanaofaa hadi kugeuka kuwa "ving'ang'a" wa hivi vibabu viwili?
Yaani nchi yote wamekosekana watu wenye utimamu hadi wapewe hao vibabu ambao wanatembea na pampas na mirija ya mikojo kwasababu ya uzee?
Pamoja na baadhi ya mambo ya kuigwa lakini Marekani still ni linchi la hovyo tu, kidemokrasia bado sana, wana mifumo ya hovyo tu...
Ngoja watetezi wa mazayuni na marekani wakuijie kwa kasi ya 5GPamoja na baadhi ya mambo ya kuigwa lakini Marekani still ni linchi la hovyo tu, kidemokrasia bado sana, wana mifumo ya hovyo tu...