Tetesi: Sio Gambo tu zaidi ya makada 200 wa CCM kuhamia CHADEMA hii ni kwasababu CCM imeparaganyika tangu Oktoba 29

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Inasemekana zaidi ya makada mia mbili na ushee watahamia Chadema.

Wamevutiwa na msimamo imara na madhubuti wa Heche na Lissu.

CCM chini ya rais Samia inaendeshwa kwa undugunization na
imekumbatia wapigaji.

Wengi wa makada hawa walikuwa wanamsumbua Heche wakidhania Chadema ingeshiriki uchaguzi mwaka jana.

Wengi watajiunga kimyakimya bila kujitangaza imedokezwa kama Gambo

20260520_171041.jpg
 
Artificial Intelligence kabisa hii, mafahari wawili wanawezaje kujifungia wenyewe tena kwenye zizi moja na mambo yakawa smooth tu.
 
Inasemekana zaidi ya makada mia mbili na ushee watahamia Chadema.

Wamevutiwa na msimamo imara na madhubuti wa Heche na Lissu.

CCM chini ya rais Samia inaendeshwa kwa undugunization na
imekumbatia wapigaji.

Wengi wa makada hawa walikuwa wanamsumbua Heche wakidhania Chadema ingeshiriki uchaguzi mwaka jana.

Wengi watajiunga kimyakimya bila kujitangaza imedokezwa kama Gambo

View attachment 3591819
Kweli shetani akizeeka..! Ila sio wa kumuamini sana huyo
 
Lowasa (R.I.P) alikuwa sawasawa na chadema woooote + hao makada 200 watakaohamia huko, Bado hakuweza kuitikisa CCM hata kwa sekunde Moja........ndo itakuwa vichinda hivi?!!🤣🤣🤣🤣
 
Inasemekana zaidi ya makada mia mbili na ushee watahamia Chadema.

Wamevutiwa na msimamo imara na madhubuti wa Heche na Lissu.

CCM chini ya rais Samia inaendeshwa kwa undugunization na
imekumbatia wapigaji.

Wengi wa makada hawa walikuwa wanamsumbua Heche wakidhania Chadema ingeshiriki uchaguzi mwaka jana.

Wengi watajiunga kimyakimya bila kujitangaza imedokezwa kama Gambo

View attachment 3591819
AI
 
Hujui kitu,hakutikisika? bila wizi wa kura ilikuwa ccm amepigwa
 
Wengi wanaotoka CCM kuja CHADEMA wengi ni mamluki huwa wakiahidiwa vyeo wanarudi walikotoka
 
Hakuna mjinga wa kujiunga na chadema,namshangaa gambo kijana tuliyecheza nae chipukizi pale ilala boma kufanya ujinga huu.
 
Huyo Gambo asipokelewe ni majambazi ya CCM yaleyale , angepitishiwa na kushiriki uchaguzi haramu angehama.?
 
Inasemekana zaidi ya makada mia mbili na ushee watahamia Chadema.

Wamevutiwa na msimamo imara na madhubuti wa Heche na Lissu.

CCM chini ya rais Samia inaendeshwa kwa undugunization na
imekumbatia wapigaji.

Wengi wa makada hawa walikuwa wanamsumbua Heche wakidhania Chadema ingeshiriki uchaguzi mwaka jana.

Wengi watajiunga kimyakimya bila kujitangaza imedokezwa kama Gambo

View attachment 3591819
Ikiwapendeza WaTanganyika wote wenye utimamu waikatae ccm!
Tunahitaji mabadiliko makubwa sasa!
 
Chadema, bado hamjajifunza kipindi mlivyompokea Lowassa?
 
CHADEMA kila siku wako nyuma ya wakati, ... mpaka saa hii bado wako kabla ya 29 Oct. 2025!
ANGALIA TU SIASA WANAZOFANYA!
 
Back
Top Bottom