Inasemekana zaidi ya makada mia mbili na ushee watahamia Chadema.
Wamevutiwa na msimamo imara na madhubuti wa Heche na Lissu.
CCM chini ya rais Samia inaendeshwa kwa undugunization na
imekumbatia wapigaji.
Wengi wa makada hawa walikuwa wanamsumbua Heche wakidhania Chadema ingeshiriki uchaguzi mwaka jana.
Wengi watajiunga kimyakimya bila kujitangaza imedokezwa kama Gambo
View attachment 3591819