Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi, Mengine ni kutufanya sisi "kindergarten"

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,221
Habari wanajamvi,

"Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi"

Ninaanza na kauli hiyo kwa sababu kumekuwa na tamaduni kwamba Kila akisemacho Rais na kukipinga hadharani waliohusika kukifanya wamekuwa wakikosolewa na kupondwa sana,

Mfano:JPM alileta kikokotoo, lakini alikuja kukipinga hadharani kwa kuwa demote waliochini yake kwamba walipitisha bila yeye kujua, hata mtoto mdogo angejua tu kwamba hapa tunachezewa kwelikweli.

Jana: Samia karudisha tsh 100, Kila mtu anamlaumu Makamba, jamani labda tu niwaambie Makamba hakufanya kwa. Ridhaa yake No , Bali ni nataka kutoka kwa dada ake Samia.

Hivyo tuache lawama za kijinga ambazo hazina maana.
 
Wewe bloggerboy inaonekana una kiherehere na Makamba.

Labda ungemtafuta binafsi.
Ili utulize kiherehere chako.

Makamba sio waziri wa fedha na wala hahusiki na mambo ya Tozo.

Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ndie mwenye dhamana ya mambo ya Tozo.

makamba yeye anahusika na hasara ya $8.5millions, Ambayo imetokana na fidia ya mkandarasi wa Bwawa la Nyerere Hydroelectric huko Rufiji.

Sababu ya kumkatia umeme kila mara tena bila taarifa rasmi na hivyo kumsababishia hasara kwa kuchelewesha kumaliza ujenzi wa bwawa kwa wakati.
 
Voicer,

Nataka kukwambia kwamba pamoja na kuwepo kwako JF siku mingi Sina hakika imekusaidia Nini,

Soma hiyo Barua ya Makamba kufuta tozo

Screenshot_20220331-101339.png
 
Voicer,

Nataka kukwambia kwamba pamoja na kuwepo kwako JF siku mingi Sina hakika imekusaidia Nini,

Soma hiyo Barua ya Makamba kufuta tozo

View attachment 2170081
Maelezo ya mama yaliyonukuliwa hapa ni ya tarehe 05 Oktoba 2021.

Kwahiyo huu uamuzi ulikuwa ni wa January Makamba na hivyo anapaswa kuwajibika kwa 100%

Kwa mtazamo wangu, wewe ndio haukuelewa.
 
Habari wanajamvi,

"Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi"

Ninaanza na kauli hiyo kwa sababu kumekuwa na tamaduni kwamba Kila akisemacho Rais na kukipinga hadharani waliohusika kukifanya wamekuwa wakikosolewa na kupondwa sana,

Mfano:JPM alileta kikokotoo, lakini alikuja kukipinga hadharani kwa kuwa demote waliochini yake kwamba walipitisha bila yeye kujua, hata mtoto mdogo angejua tu kwamba hapa tunachezewa kwelikweli.

Jana: Samia karudisha tsh 100, Kila mtu anamlaumu Makamba, jamani labda tu niwaambie Makamba hakufanya kwa. Ridhaa yake No , Bali ni nataka kutoka kwa dada ake Samia.

Hivyo tuache lawama za kijinga ambazo hazina maana.
Na lazima ipite kwenye baraza la mawaziri ambalo yeye ni Mwenyekiti, angali ubovu wa polisi kawageuka serikali yeye kaka upande wa chama utadhani IGP anateuliwa na Askofu mkuu KKKT
 
Back
Top Bottom