Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Haya ni matapeli ya nchiWanaopaswa kuhamia Somalia ni hawa vibaka wanaotuongoza.View attachment 2170107View attachment 2170108
Haya ni matapeli ya nchiWanaopaswa kuhamia Somalia ni hawa vibaka wanaotuongoza.View attachment 2170107View attachment 2170108
Ni utapiamlo wa akili kuamini kuwa Tanzania haina Rais na wewe mchangiaji upo ndani ya nchi ambayo haina Rais.Ni utapiamlo wa akili kuamini kuwa Tanzania ina Rais.
Hii nchi ina poor coordinationVoicer,
Nataka kukwambia kwamba pamoja na kuwepo kwako JF siku mingi Sina hakika imekusaidia Nini,
Soma hiyo Barua ya Makamba kufuta tozo
View attachment 2170081
🤣🤣🤣Mpaka 2030 itafika, reli sahivi hata hataki kuisikia kabisa
Ikifika 2024 utasikia kuwa Bwawa litakamilika 2026!Tanzania inaongozwa na kibakaView attachment 2170104
Ni utapiamlo wa akili kuamini kuwa Tanzania haina Rais na wewe mchangiaji upo ndani ya nchi ambayo haina Rais.
Bunge ni kioo kilichovunjikaMimi nalilaumu bunge siyo Makamba!
basi hapo hakuna bunge maana hawajui majukumu yaoHata bunge halifanyi kitu bila Rais