bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,221
Hata bunge halifanyi kitu bila RaisMimi nalilaumu bunge siyo Makamba!
Hama Nchi binti yangu, nenda Somalia kwenye RaisNi utapiamlo wa akili kuamini kuwa Tanzania ina Rais.
Habari wanajamvi,
"Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi"
Ninaanza na kauli hiyo kwa sababu kumekuwa na tamaduni kwamba Kila akisemacho Rais na kukipinga hadharani waliohusika kukifanya wamekuwa wakikosolewa na kupondwa sana,
Mfano:JPM alileta kikokotoo, lakini alikuja kukipinga hadharani kwa kuwa demote waliochini yake kwamba walipitisha bila yeye kujua, hata mtoto mdogo angejua tu kwamba hapa tunachezewa kwelikweli.
Jana: Samia karudisha tsh 100, Kila mtu anamlaumu Makamba, jamani labda tu niwaambie Makamba hakufanya kwa. Ridhaa yake No , Bali ni nataka kutoka kwa dada ake Samia.
Hivyo tuache lawama za kijinga ambazo hazina maana.
Acha tubaki ba utapiamlo wa akili ila Rais tunae wewe endelea na Akili lishe yako kuamini hatuna RaisNi utapiamlo wa akili kuamini kuwa Tanzania ina Rais.
Voicer,Wewe bloggerboy inaonekana una kiherehere na Makamba.
Labda ungemtafuta binafsi.
Ili utulize kiherehere chako.
Makamba sio waziri wa fedha na wala hahusiki na mambo ya Tozo.
Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba ndie mwenye dhamana ya mambo ya Tozo.
makamba yeye anahusika na hasara ya $8.5millions, Ambayo imetokana na fidia ya mkandarasi wa Bwawa la Nyerere Hydroelectric huko Rufiji.
Sababu ya kumkatia umeme kila mara tena bila taarifa rasmi na hivyo kumsababishia hasara kwa kuchelewesha kumaliza ujenzi wa bwawa kwa wakati.
Yupo kwa OdingaKwani Mbowe anasemaje?
Maelezo ya mama yaliyonukuliwa hapa ni ya tarehe 05 Oktoba 2021.Voicer,
Nataka kukwambia kwamba pamoja na kuwepo kwako JF siku mingi Sina hakika imekusaidia Nini,
Soma hiyo Barua ya Makamba kufuta tozo
View attachment 2170081
Siyo rais tu bali rais makini na shupavuNi utapiamlo wa akili kuamini kuwa Tanzania ina Rais.
Na Makamba hawezi toa kauli yoyote bila dada ake kubarikiMaelezo ya mama yaliyonukuliwa hapa ni ya tarehe 05 Oktoba 2021.
Kwahiyo huu uamuzi ulikuwa ni wa January Makamba na hivyo anapaswa kuwajibika kwa 100%
Kwa mtazamo wangu, wewe ndio haukuelewa.
Ikifika 2024 utasikia kuwa Bwawa litakamilika 2026!Nitaendelea kuimba kuwa Tanzania inaongozwa na kibaka.Siyo rais tu bali rais makini na shupavu
We ndo kibaka tena wagagagigikoko.Ikifika 2024 utasikia kuwa Bwawa litakamilika 2026!Nitaendelea kuimba kuwa Tanzania inaongozwa na kibaka.View attachment 2170090
Ikifika 2024 utasikia kuwa Bwawa litakamilika 2026!Tanzania inaongozwa na kibakaAcha tubaki ba utapiamlo wa akili ila Rais tunae wewe endelea na Akili lishe yako kuamini hatuna Rais
Na lazima ipite kwenye baraza la mawaziri ambalo yeye ni Mwenyekiti, angali ubovu wa polisi kawageuka serikali yeye kaka upande wa chama utadhani IGP anateuliwa na Askofu mkuu KKKTHabari wanajamvi,
"Sio Kila alipingalo Rais yupo sahihi"
Ninaanza na kauli hiyo kwa sababu kumekuwa na tamaduni kwamba Kila akisemacho Rais na kukipinga hadharani waliohusika kukifanya wamekuwa wakikosolewa na kupondwa sana,
Mfano:JPM alileta kikokotoo, lakini alikuja kukipinga hadharani kwa kuwa demote waliochini yake kwamba walipitisha bila yeye kujua, hata mtoto mdogo angejua tu kwamba hapa tunachezewa kwelikweli.
Jana: Samia karudisha tsh 100, Kila mtu anamlaumu Makamba, jamani labda tu niwaambie Makamba hakufanya kwa. Ridhaa yake No , Bali ni nataka kutoka kwa dada ake Samia.
Hivyo tuache lawama za kijinga ambazo hazina maana.
Wanaopaswa kuhamia Somalia ni hawa vibaka wanaotuongoza.Hama Nchi binti yangu, nenda Somalia kwenye Rais
Mpaka 2030 itafika, reli sahivi hata hataki kuisikia kabisaIkifika 2024 utasikia kuwa Bwawa litakamilika 2026.Tanzania inaongozwa na kibakaView attachment 2170104