Sio kila dhaifu la mpenzi wako ni la kumuambia, mengine ishi nayo tu!

Sio kila dhaifu la mpenzi wako ni la kumuambia, mengine ishi nayo tu!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Unapokuwa binadamu mwenye uwezo mzuri wa akili lazima ujue kuchuja vitu na lakuongea si kila jambo nilakutiririka tu!.

Kuhusiana na mtu ni sehemu ya utimilifu wa hisia pamoja na akili. Baadhi ya madhaifu ya mpenzi wako unatakiwa kuwa cover, mengine mwambie ajirekebishe na mengine ishinayo alasivyo utashangaa utapigwa na kitu kizito kisogoni ukiwa mpayukaji wa kila kitu.

Na mwenye kusoma na asome nakuelewa akina nungunungu tulieni adabu iwakae.
 
Huyu wangu anajijua, kuna siku ananiambia yeye anajiona hana mbele wala nyuma, ni flat screen. Ila nilimpa moyo kua yeye ndo chaguo langu kikubwa maelewano na kuheshimiana inatosha
 
Niliwahi kuwa na demu ananuka K kama samaki kaoza sikumwambia nimuacha
 
Nilimuoa akiwa flat screen nilienjoy sana siku za mwanzo, baada ya miaka kadhaa Kawa kibonge, hata sauti ile nyororo ikatoweka, sasa ana besi kuliko hata mie yaani ni keroo, ila namvumilia sana.
 
Nilimuoa akiwa flat screen nilienjoy sana siku za mwanzo, baada ya miaka kadhaa Kawa kibonge, hata sauti ile nyororo ikatoweka, sasa ana besi kuliko hata mie yaani ni keroo, ila namvumilia sana.
Utulie hapohapo
 
Kwa nchi hii ni probability mkuu

Lakini its only for gentlemen

Kuna mwamba niliwahi kumuuliza kuhusu manzi fulani akanipa sifa zake nzuri tu lakini nilikuja kugundua manzi alikuwa demu wa mshikaji

Mpaka wa leo najiulizaga jamaa alikuwa nawaza nini kunipa dead ball
 
Ila ya kutokumwambia n yale ambayo kuyachange n ngumu kama muonekano cjui titi kubwa, flat screen, tumbo, makengeza, her skin, ila vingine unaweza cjui uvivu, uchafu unamchana tuu vzur
 
Bado uponae..?
 
Ila ya kutokumwambia n yale ambayo kuyachange n ngumu kama muonekano cjui titi kubwa, flat screen, tumbo, makengeza, her skin, ila vingine unaweza cjui uvivu, uchafu unamchana tuu vzur
Kikubwa hekima Kuna madhaifu mengine yakitabia ukimwambia anawezachukulia kama ndio gia sasa unaweza lizwa..😅
 
Back
Top Bottom