Sio kila dhaifu la mpenzi wako ni la kumuambia, mengine ishi nayo tu!

Kuna wanawake wengine wana jistukia sana mkuu unakuta kila mara anakuuliza unarizika navokupa sasa unakuta anakuuliza mara 10 nzima kila mkitoka kunyanduana si kero hii
 
Hili swali nilishaulizwa sana.Sijui huwa wanawaza nini?!
 
Wanandoa mnashauriwa mtumie love letters kwa mambo ambayo hamuezi kuambiana hadharani ili kuepusha migogoro.
 
Back
Top Bottom