Halafu unakuta naye anakusaliti.!!Huyu wangu anajijua, kuna siku ananiambia yeye anajiona hana mbele wala nyuma, ni flat screen. Ila nilimpa moyo kua yeye ndo chaguo langu kikubwa maelewano na kuheshimiana inatosha
Kuomba omba sio udhaifu, hilo ni pepo.Kama demu anapenda sana kuomba hela lazima nimchache makavu live kabla ya kumpiga kibuti
Bado uponae..?Kwa nchi hii ni probability mkuu
Lakini its only for gentlemen
Kuna mwamba niliwahi kumuuliza kuhusu manzi fulani akanipa sifa zake nzuri tu lakini nilikuja kugundua manzi alikuwa demu wa mshikaji
Mpaka wa leo najiulizaga jamaa alikuwa nawaza nini kunipa dead ball
Nimetulia ndugu yangu sipendi makuuUtulie hapohapo
Kikubwa hekima Kuna madhaifu mengine yakitabia ukimwambia anawezachukulia kama ndio gia sasa unaweza lizwa..πIla ya kutokumwambia n yale ambayo kuyachange n ngumu kama muonekano cjui titi kubwa, flat screen, tumbo, makengeza, her skin, ila vingine unaweza cjui uvivu, uchafu unamchana tuu vzur
bora ukweli uwe mchunguSema kitu me too..π
πkabisa mwalimuNaweza kukufundisha kitu..π