Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Kama Gwajimaa katoa dukuduku lake wanamshambulia!Wakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite ... Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo
Tuziachie mamlaka husika zifanye kazi zaoKama Gwajimaa katoa dukuduku lake wanamshambulia!
Gwajima ni mpumbavu fulani tu hivi.Wakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite ... Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo
Kuna mambo unaweza ukazungumza kwa nia njema ila ukakosea kwenye uwasilishaji yakazua taharukiGwajima ni mpumbavu fulani tu hivi.
Kiboko yakeni mtoto wa kichaga Jerry Muro.
Amempa challenge ambayo nina uhakika Gwajima ataweka mpira kwapani!
Gwajima ni kichaa!Kuna mambo unaweza ukazungumza kwa nia njema ila ukakosea kwenye uwasilishaji yakazua taharuki
Mbona kama kichaa ni wewe mkuuGwajima ni kichaa!
Kumbuka video yake ya mwaka 2014 alivyomtukana askofu Polycap Pengo kama mvuta bangi fulani hivi!
Mara oo askofu Pengo kala maharage ya wapi?!
Mara oo Kawa kama mtoto mdogo anavaa pampas?!
Mara ooo Pengo hana akili! na matusi mengine kibao!
Kwaiyo pesa za wavuja jasho zikipigwa watu wasiseme kutekwa na kupotezwa raia wa hii nchi pia wasiseme kisa tu ni kipindi cha uchaguzi?Tuziachie mamlaka husika zifanye kazi zao
Kila mtu akisema nchi itakosa utulivu that's why nasema sio kila jambo tulipe air timeKwaiyo pesa za wavuja jasho zikipigwa watu wasiseme kutekwa na kupotezwa raia wa hii nchi pia wasiseme kisa tu ni kipindi cha uchaguzi?
Wewe ni jamii ya kunguni wa mamaTuziachie mamlaka husika zifanye kazi zao
Punguza uchawa tumia akili yako vizuriWakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite ..
Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo
Heshimu ,, maoni ya watu wengine, kwahiyo ulitaka nimtukane rais ili unifurahieWewe ni jamii ya kunguni wa mama
Wakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite ..
Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo
Hahahahahaa CCM wanageuza changamoto kuwa fursa, wanapata airtime ya media na kujitangaza, huu Ndio muda mzuri kwaoWakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite ..
Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo
Gwajima ni kichaa!
Kumbuka video yake ya mwaka 2014 alivyomtukana askofu Polycap Pengo kama mvuta bangi fulani hivi!
Mara oo askofu Pengo kala maharage ya wapi?!
Mara oo Kawa kama mtoto mdogo anavaa pampas?!
Mara ooo Pengo hana akili! na matusi mengine kibao!
Wengi huwa wanaongea kutafuta umaarufu wa kisiasa usiotokana na utendaji kaziHahahahahaa CCM wanageuza changamoto kuwa fursa, wanapata airtime ya media na kujitangaza, huu Ndio muda mzuri kwao
Umesema vyemaWakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite ..
Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo
Tuko pmjUmesema vyema