PreGE2025 Sio kila jambo la kisiasa ni la kulitolea tamko mengine kubali yakupite

PreGE2025 Sio kila jambo la kisiasa ni la kulitolea tamko mengine kubali yakupite

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watu wakinyamaza unataka nani aongee....
Is it a coincidence kuwa wabunge wengi wanawake kutoka visiwani ndio vibaraka wa kutetea udhaifu wa Samia?
We ngi wao ni mbumbumbu wamesoma folk colleges wako bungeni kupokea posho tu!
 
Is it a coincidence kuwa wabunge wengi wanawake kutoka visiwani ndio vibaraka wa kutetea udhaifu wa Samia?
We ngi wao ni mbumbumbu wamesoma folk colleges wako bungeni kupokea posho tu!
Wamepeana na mama yao..
 
Kwani utekaji umeanza awamu ya 6 ?!
Mbona enzi za Magufuli alikaa kimya na utekaji ulikuwepo?
Gwajima ana chuki binafsi na mama Samia kwa mambo matatu!
1 .Gwajima anamchukia mama Samia kwa sababu nin Muislamu.
2. Gwajima anamchukia mama Samia kwa sababu ni mzanzibari.
3 .Gwajima anamchukia mama Samia kwasababu ni mwanamke.

Jerry Muro kamjibu vizuri gwajima na kamtaka kama anazo hoja waweke mdahalo wa wazi aweze kutoa hizo dukuduku zake.
Ukifatilia historia ya huyu msukuma hasa lile la kumtukana askofu Pengo utagundua kuwa ni mtu wa kupenda kiki na kukurupuka kuzungumzia mambo ambayo hajayatafiti.
Udini unamtesa sana gwajima.
Aliingia bungeni kwa nia ya kumuunga mkono msukuma mwenzake John Magufuli.
Baada ya Magufuli kufariki Gwajima akakosa mwelekeo na ndio maana kashindwa kutekeleza japo ahadi Moja kati ya ahadi kibao alizoahidi kwa watu wa jimbo la kawe wakati wa kampeni zake za 2020.
Askofu Pengo alikua Muislamu?
 
Gwajima ni mpumbavu fulani tu hivi.
Kiboko yakeni mtoto wa kichaga Jerry Muro.
Amempa challenge ambayo nina uhakika Gwajima ataweka mpira kwapani!
Jerry Muro huyu huyu mwenye kashifa ya mgongo ndo amdhibiti Gwajima?
 
Wakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite ..

Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo
Mkuu Gwajima ni kiongozi wa dini aliyekengeuka, Hekima yake kama kiongozi wa Dini ni 0 bin 0 sijui mle bungeni kaenda kufanya nini mbaya zaidi hata maendeleo jimboni kwake kashindwa kupush yatekelezwe. He is failure everywhere
 
Back
Top Bottom