Sekunde chache
Senior Member
- Mar 3, 2025
- 104
- 73
Kwani utekaji umeanza awamu ya 6 ?!Ni mpumbavu pekee anayeweza kuyapinga yaliyosemwa na Gwajima.
Kwani utekaji haupo? Kwani haupaswi kukomeshwa, wahusika kuwajibishwa na walioathirika kurejeshwa salama makwao?
Mbona enzi za Magufuli alikaa kimya na utekaji ulikuwepo?
Gwajima ana chuki binafsi na mama Samia kwa mambo matatu!
1 .Gwajima anamchukia mama Samia kwa sababu nin Muislamu.
2. Gwajima anamchukia mama Samia kwa sababu ni mzanzibari.
3 .Gwajima anamchukia mama Samia kwasababu ni mwanamke.
Jerry Muro kamjibu vizuri gwajima na kamtaka kama anazo hoja waweke mdahalo wa wazi aweze kutoa hizo dukuduku zake.
Ukifatilia historia ya huyu msukuma hasa lile la kumtukana askofu Pengo utagundua kuwa ni mtu wa kupenda kiki na kukurupuka kuzungumzia mambo ambayo hajayatafiti.
Udini unamtesa sana gwajima.
Aliingia bungeni kwa nia ya kumuunga mkono msukuma mwenzake John Magufuli.
Baada ya Magufuli kufariki Gwajima akakosa mwelekeo na ndio maana kashindwa kutekeleza japo ahadi Moja kati ya ahadi kibao alizoahidi kwa watu wa jimbo la kawe wakati wa kampeni zake za 2020.