Sekunde chache
Senior Member
- Mar 3, 2025
- 104
- 73
Kwani utekaji umeanza awamu ya 6 ?!Ni mpumbavu pekee anayeweza kuyapinga yaliyosemwa na Gwajima.
Kwani utekaji haupo? Kwani haupaswi kukomeshwa, wahusika kuwajibishwa na walioathirika kurejeshwa salama makwao?
Ile video ya Gwajima akimtukana askofu Pengo hujawahi kuiona.Mbona kama kichaa ni wewe mkuu
Jerry Muro kasema kitu gani cha maana ? Jerry Muro ndio kamtukana Samia kwa kusema kuwa ingawa Samia hafai kuwa Rais lakini tuendelee kumtii!Gwajima ni mpumbavu fulani tu hivi.
Kiboko yakeni mtoto wa kichaga Jerry Muro.
Amempa challenge ambayo nina uhakika Gwajima ataweka mpira kwapani!
Sawa.Jerry Muro kasema kitu gani cha maana ? Jerry Muro ndio kamtukana Samia kwa kusema kuwa ingawa Samia hafai kuwa Rais lakini tuendelee kumtii!
Huyu ndio Muulize I chama chenu kwani kamtukana Samia!
Kwani utekaji umeanza awamu ya 6 ?!
Mbona enzi za Magufuli alikaa kimya na utekaji ulikuwepo?
Gwajima ana chuki binafsi na mama Samia kwa mambo matatu!
1 .Gwajima anamchukia mama Samia kwa sababu nin Muislamu.
2. Gwajima anamchukia mama Samia kwa sababu ni mzanzibari.
3 .Gwajima anamchukia mama Samia kwasababu ni mwanamke.
Jerry Muro kamjibu vizuri gwajima na kamtaka kama anazo hoja waweke mdahalo wa wazi aweze kutoa hizo dukuduku zake.
Ukifatilia historia ya huyu msukuma hasa lile la kumtukana askofu Pengo utagundua kuwa ni mtu wa kupenda kiki na kukurupuka kuzungumzia mambo ambayo hajayatafiti.
Udini unamtesa sana gwajima.
Aliingia bungeni kwa nia ya kumuunga mkono msukuma mwenzake John Magufuli.
Baada ya Magufuli kufariki Gwajima akakosa mwelekeo na ndio maana kashindwa kutekeleza japo ahadi Moja kati ya ahadi kibao alizoahidi kwa watu wa jimbo la kawe wakati wa kampeni zake za 2020.
Nini maana ya kwerikweri?!Kwani wewe ulipenda utekaji huu uliopo ufumbiwe macho?
Kwani usiungane hili kundi ambalo lingependa watekaji wote bila kujali awamu wawajibishwe kweri kweri?
Nini maana ya kwerikweri?!
HUU NI UPUMBAVU.Kila mtu akisema nchi itakosa utulivu that's why nasema sio kila jambo tulipe air time
Hoja ya Gwajima kuhusu mauaji na utekaji ndio inatakiwa kujadiliwa . Mambo ya ahadi za ubunge sio mahala pake Hapa mgojeni akirudi Kawe!!Sawa.
Tusiandikie mate wakati wino upo!
Muro kataka mdahalo na huyo msukuma mshamba anayeitwa gwajima!
Tungojee majibu ya gwajima ndio tujue kati ya Muro na gwajima nani anajua kujenga hoja.
Ninavyojua gwajima kwa muda mrefu watu wamekuwa wakimuheshimu kwa hayo majukumu aliyojipachika eti ni kiongozi wa dini!
Baada ya kusema hadharani kuwa kajivua uaskofu watu watampa za uso kanisa atalikimbia!
Eti ufufuo na uzima😃😃😃
Alianza kuwaahidi wafuasi wake kwamba anafufua misukule na hakuna hata msukule mmoja aliwahi kufufua.
Baadae akawaambia wakazi wa kawe wakimchagua atawapeleka nchini JAPAN kujifunza uvuvi wa kisasa na kuwaletea boti za uvuvi za kisasa leo mwaka wa tano hajafanya hata jambo moja.
Wewe jamaa una ulemavu ambao haujaung'amua.Sawa.

Haya ndio majinga yalioijaza nchi hiiKila mtu akisema nchi itakosa utulivu that's why nasema sio kila jambo tulipe air time
Naunga mkono hoja.Maana watu wamevugwa si kawaida.Wakati huu wa joto la kisiasa sio kila jambo ni lazma kulitolea kauli mengine mtu unatakiwa ukubali yakupite ..
Mbaya sana kufunua mdomo kuongea jambo usilokuwa na uhakika nalo
Lini hizo mamlaka husika zimewahi kufanya kazi zao?Tuziachie mamlaka husika zifanye kazi zao
Jerry ni garasa tu anataka ukuu wa wilaya.Gwajima ni mpumbavu fulani tu hivi.
Kiboko yakeni mtoto wa kichaga Jerry Muro.
Amempa challenge ambayo nina uhakika Gwajima ataweka mpira kwapani!
Mamlaka zenyewe nazo zinawinda promotion kazi ipo...))()()Lini hizo mamlaka husika zimewahi kufanya kazi zao?
Kwamba Jerry kaonges nini zaid ya kujidhalilisha yeye ndiye alitakiwa akae kimya kabisa. Kuna na wabunge ndio wanafanya tuvuiwe nguoGwajima ni mpumbavu fulani tu hivi.
Kiboko yakeni mtoto wa kichaga Jerry Muro.
Amempa challenge ambayo nina uhakika Gwajima ataweka mpira kwapani!
Mamlakq husikaWatu wakinyamaza unataka nani aongee....
Zimeonyesha kuelemewa,acha wazalendo wa kujitolea waokoe jahazi linalo zama.Tuziachie mamlaka husika zifanye kazi zao