Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Unafikiri nitasemaje sasa😅😅😅aendelee kukoma tu😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah dea bhanaah lol,
Mzima lkni ❤️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri nitasemaje sasa😅😅😅aendelee kukoma tu😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah dea bhanaah lol,
Mie mzma dea, miss moaaaah, ndo unapotea San jomoneeeh.Unafikiri nitasemaje sasa[emoji28][emoji28][emoji28]aendelee kukoma tu[emoji28][emoji28]
Mzima lkni [emoji3590]
Nilipata mashaka tangu pale tu ulipomkuta siku ya kwanza nakumuomba namba ukiwa kwenye gari yako na kiulaini tu akakubali kuja kwako...
Mkuu utakapoamua kutafuta mke wa ndoa mke wa maisha, nakushauri usije ukathubutu kutumia gari Kama chambo........wanawake wanachambo mbili ambazo hawaruki......gari na chips...!!!!
Yaan huwa nikifikiria hili gonjwa, had mishipa ya nyege inasinyaa ila bas tyuuuh duuuh.
[emoji2296][emoji2296]
Tatizo nyie mnachoamini mtu akiwa na bambataa basi ni mrembo, mtaliwa sana
Kabisaaaa yaaan we acha tyuuuh,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyege tena
Pole mkuu...wengi waliozaliwa wakiwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI ni watu poa sana. Wamefundishwa mengi tangu wakiwa wadogo na wako makini. Wanajitahidi kuwalinda wengine hasa wanapogundua wenzi wao au watu waliokaribu nao ni wazembe kwenye kujilinda.
Shughuli pevu ipo kwa waliopata virusi vya UKIMWI ukubwani.
Kabisaaaa yaaan we acha tyuuuh,
okay daaah pole sana mkuu
Suala la afya bora kwangu ni 1St priority. Huwa sina masikhara ktk hilo.Kikubwa ukianza mahusiano na mtu ni vyema kujua afya zenu na sio kukimbilia kuvua kisa umempima kwa macho
mkuu nashukuru
Suala la afya bora kwangu ni 1St priority. Huwa sina masikhara ktk hilo.
Nadhani wahusika watakuwa wamekuelewa...Nakumbuka miezi kadhaa iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja hakika alinivutia sana nilikuwa na-drive lkn kutokana na uzuri wake aliojaliwa umbo maridadi mtoto bambata imejazia kiukweli sikuona kasoro yake kwa macho nilishindwa kupita ikabidi nimsimamishe alipokuwa anapita na marafiki zake nikaomba number ya simu bila hiyana akanipa na nikampa appointment ya kuja kwangu kupajua.
Bhas siku hiyo amekuja mida ya jioni tukaketi nikaanza kuchombeza mzee baba nikasema huyu akinichomolea sitoeza kumuacha aondoke bure bure japo sio tabia zangu kutumia nguvu na sijawai ila udenda ulishanitoka .
Kipindi na chombeza naona mtu anaanza kulia na kuniambia kuwa yeye ni muathirika wa UKIMWI amezaliwa nao!laaa nilihamaki na kushtuka lakini sikutaka kuonesha kama nimeshtuka lkn kimoyomoyo nikasema Baba wa mbinguni kweli anatunusuru na mambo mengi sana tunatongoza mademu hatuwajui tunawagonga bila kinga mpaka najiuliza je angekuwa sio mchoyo ingekuaje!
KWA HIYO WANANGU HIZI TONGOZA TONGOZA TUWE NAZO MAKINI SANA
Nadhani wahusika watakuwa wamekuelewa...
Na wewe ukakubali !!!! Mkuu unafeli wapi
We kijana vipi?,kwani akiwa na ukimwi ndo hafai?,hebu nipe namba zake nifanye mafekeche fast..Nakumbuka miezi kadhaa iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja hakika alinivutia sana nilikuwa na-drive lkn kutokana na uzuri wake aliojaliwa umbo maridadi mtoto bambata imejazia kiukweli sikuona kasoro yake kwa macho nilishindwa kupita ikabidi nimsimamishe alipokuwa anapita na marafiki zake nikaomba number ya simu bila hiyana akanipa na nikampa appointment ya kuja kwangu kupajua.
Bhas siku hiyo amekuja mida ya jioni tukaketi nikaanza kuchombeza mzee baba nikasema huyu akinichomolea sitoeza kumuacha aondoke bure bure japo sio tabia zangu kutumia nguvu na sijawai ila udenda ulishanitoka .
Kipindi na chombeza naona mtu anaanza kulia na kuniambia kuwa yeye ni muathirika wa UKIMWI amezaliwa nao!laaa nilihamaki na kushtuka lakini sikutaka kuonesha kama nimeshtuka lkn kimoyomoyo nikasema Baba wa mbinguni kweli anatunusuru na mambo mengi sana tunatongoza mademu hatuwajui tunawagonga bila kinga mpaka najiuliza je angekuwa sio mchoyo ingekuaje!
KWA HIYO WANANGU HIZI TONGOZA TONGOZA TUWE NAZO MAKINI SANA
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ni vizuri