the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
- Thread starter
-
- #61
Ww ndio hamnazo kwel alikua anakujambisha tu
Yes, kama mbingu ipo.Ndiyo maana nikaanza na "yote yawezekana" ila huyo dada ana seat yake mbinguni kama mbingu ipo lakini.
Nadhani wahusika watakuwa wamekuelewa...
Pumzi ikiwa inakata na kushindwa kuhema ni dalili moja wapo ya mtu mwanathirika/anayetumia dawa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daw zake ndizo zilinifanya kuamini na kwel somtym pumzi zinakata anashindwa kuhema
Pumzi ikiwa inakata na kushindwa kuhema ni dalili moja wapo ya mtu mwanathirika/anayetumia dawa?
Demu unakutana nae barabarani fasta unamualika home[emoji3] ulishafeli kuanzia mwanzo!
Mzee hapo ulishafeli! Sio kila demu niwakupeleka home! Naona ulitaka kumuonyesha uko mambo safi na hapo alikuona limbukeni! Angalau mngekutana kwa dinner kwanza nje huko ukamsoma kama anafaa kuletwa homu au la! Utakuja kkupeleka majambazi kwako mkuuKwahy ulitaka nijirembulishe nijizungushe ili itokee nn
Kuna mmoja pia ana siti yake mbinguni asee.Ndiyo maana nikaanza na "yote yawezekana" ila huyo dada ana seat yake mbinguni kama mbingu ipo lakini.