Sio kila kikuvutiacho machoni kinafaa NIMEKOMA

Sio kila kikuvutiacho machoni kinafaa NIMEKOMA

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]daw zake ndizo zilinifanya kuamini na kwel somtym pumzi zinakata anashindwa kuhema
Pumzi ikiwa inakata na kushindwa kuhema ni dalili moja wapo ya mtu mwanathirika/anayetumia dawa?
 
Demu unakutana nae barabarani fasta unamualika home😀 ulishafeli kuanzia mwanzo!
 
Pumzi ikiwa inakata na kushindwa kuhema ni dalili moja wapo ya mtu mwanathirika/anayetumia dawa?

Sina uhakika na hilo inategemeana na mtu kwamaan kuna wengin wameathirika lkn wanakuwa fiti
 
Kwahy ulitaka nijirembulishe nijizungushe ili itokee nn
Mzee hapo ulishafeli! Sio kila demu niwakupeleka home! Naona ulitaka kumuonyesha uko mambo safi na hapo alikuona limbukeni! Angalau mngekutana kwa dinner kwanza nje huko ukamsoma kama anafaa kuletwa homu au la! Utakuja kkupeleka majambazi kwako mkuu
 
nipe namba yake kijana umeaibisha nchi yetu .condom zipo
 
Back
Top Bottom