the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
Nakumbuka miezi kadhaa iliyopita nilikutana na mwanamke mmoja hakika alinivutia sana nilikuwa na-drive lkn kutokana na uzuri wake aliojaliwa umbo maridadi mtoto bambata imejazia kiukweli sikuona kasoro yake kwa macho nilishindwa kupita ikabidi nimsimamishe alipokuwa anapita na marafiki zake nikaomba number ya simu bila hiyana akanipa na nikampa appointment ya kuja kwangu kupajua.
Bhas siku hiyo amekuja mida ya jioni tukaketi nikaanza kuchombeza mzee baba nikasema huyu akinichomolea sitoeza kumuacha aondoke bure bure japo sio tabia zangu kutumia nguvu na sijawai ila udenda ulishanitoka .
Kipindi na chombeza naona mtu anaanza kulia na kuniambia kuwa yeye ni muathirika wa UKIMWI amezaliwa nao!laaa nilihamaki na kushtuka lakini sikutaka kuonesha kama nimeshtuka lkn kimoyomoyo nikasema Baba wa mbinguni kweli anatunusuru na mambo mengi sana tunatongoza mademu hatuwajui tunawagonga bila kinga mpaka najiuliza je angekuwa sio mchoyo ingekuaje!
KWA HIYO WANANGU HIZI TONGOZA TONGOZA TUWE NAZO MAKINI SANA