realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Mimi Binafsi nimejionea unaenda kwa mtu kumuomba ushauri anayokushauri tu utachoka.
Mtu mzima na mvi zake mambo anayofanya tofauti na umri wake.
Halafu hata aibu wamekosa kabisa Jamani.
Nini kinasababisha Jamani?
Halafu unakuta ana watoto wakubwa tu lakini mambo anayofanya yanawafanya watoto waone aibu.
Tubadilike.