Sio kila Mtu mzima ni muungwana Jamani

Sio kila Mtu mzima ni muungwana Jamani

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
3,925
Reaction score
8,853
Mimi Binafsi nimejionea unaenda kwa mtu kumuomba ushauri anayokushauri tu utachoka.

Mtu mzima na mvi zake mambo anayofanya tofauti na umri wake.

Halafu hata aibu wamekosa kabisa Jamani.

Nini kinasababisha Jamani?

Halafu unakuta ana watoto wakubwa tu lakini mambo anayofanya yanawafanya watoto waone aibu.

Tubadilike.
 
Hv unafahamu kwamba mwanamme mwenye miaka 60 kumuomba mdada wa miaka 30 ni kawaida mno?
 
Mimi Binafsi nimejionea unaenda kwa mtu kumuomba ushauri anayokushauri tu utachoka.

Mtu mzima na mvi zake mambo anayofanya tofauti na umri wake.

Halafu hata aibu wamekosa kabisa Jamani.
Nini kinasababisha Jamani?
Halafu unakuta ana watoto wakubwa tu lakini mambo anayofanya yanawafanya watoto waone aibu.
Tubadilike.
Shida nini tena?
 
Yaani mtu ameshindwa hata kueleza shida nini? Halafu anataka members wajadili. Hii ni akili gani sijui
 
Mimi Binafsi nimejionea unaenda kwa mtu kumuomba ushauri anayokushauri tu utachoka.

Mtu mzima na mvi zake mambo anayofanya tofauti na umri wake.

Halafu hata aibu wamekosa kabisa Jamani.
Nini kinasababisha Jamani?
Halafu unakuta ana watoto wakubwa tu lakini mambo anayofanya yanawafanya watoto waone aibu.
Tubadilike.
Kuna MTU anaitwa Baleke John Bakilile, Mungu ampe akili mpya inayoendana Na umri wake
 
Mimi Binafsi nimejionea unaenda kwa mtu kumuomba ushauri anayokushauri tu utachoka.

Mtu mzima na mvi zake mambo anayofanya tofauti na umri wake.

Halafu hata aibu wamekosa kabisa Jamani.
Nini kinasababisha Jamani?
Halafu unakuta ana watoto wakubwa tu lakini mambo anayofanya yanawafanya watoto waone aibu.
Tubadilike.
Leo jioni mimi na wenzangu tumeenda ofisi fulani kwa lengo la kutangaza huduma za kampuni tunayofanyia kazi, kufika pale tulipokelewa vizuri tu na mwenyeji wetu ambaye hatukufahamiana naye hapo kabla na alikuwa ki umri hapungui miaka 50

Basi bwana bila kupoteza muda tulifafanua bidhaa zetu kwamba ndio lengo la ujio wetu pale, yule mzee alionesha kupenda bidhaa zetu na kusema tumuuzie moja wapo. Tukamwambia ni pesa yako tu kwa maana sisi hatuuzi kwa mkopo uwe na cash akajibu "pesa sio tatizo nipeni bidhaa"

Basi mwenzangu akafungua bidhaa kwenye box na kufanya installation huku akimuelekeza mzee abc. Baada ya hapo tukaomba malipo yetu ili tuweze kuondoka, yule mzee si akasema pesa hana hivo tumkopeshe alafu kesho tuijie pesa 😂😂 (ndio first time tunaonana)

Tulitamani kumlamba makofi
 
Back
Top Bottom