Kubwa zaidi tuwafunze watoto wetu wa kike kujitegemea."nimekutoa kwenye umasikini leo unavimba na kunisaliti na wanaume wengine kwa kutumia mali yangu?"..
Akina mama muwe mnawafunda watoto wenu juu ya tamaa ya mali za watu na muwaambie hatari iliyo mbele yao....issue hapo ni kukubali kuolewa na mtu ambaye unajua kinachokupeleka ni tamaa ya hela na maisha yake mazuri.....kama humpendi kuwa straight, huhitaji ndoa naye na umueleze huko mbele tutasumbuana maana moyo wangu hauko kwako.....
Kukubali commitment huku ukijua shida ni umasikini na njaa zako ni hatari zaidi ya hatari....huyu bwana Said leo kafyatua risasi ila wapo watu anakutoa roho bila yeyote kujua kama yeye ndiye mhusika...
Wazazi tufundishe watoto madhara ya tamaa, Wazazi tuwakuze watoto kwenye maadili mema, Wazazi hasa akina mama wafundisheni watoto wakike wajue ni maana ya kuwa watoto wa kike na nafasi yao nini...MSIWAACHE WAKAFUNDISHWA NA AKINA JOYCE KIRIA, au kuwaona akina Wolper ndio marole model wao..
...huku kuna kuhukumu sana, wewe unajuaje kuwa huyo dada alikua hampendi mumewe na role model wake alikua Wolper?
Kuanzia bilioni mojampaka angekuwa na kiasi gani ndiyo anakuwa tajiri?
sorry, sijahukumu mtu bali nimetoa maangalizo kulingana na mazingira ya tukio..na taarifa za sources kwenye ground...
Lakini picha kubwa niliyonayo kulingana na exposure yangu ya maeneo mengi na mabinti zetu wa kitanzania...
Huyo demu alishakua mhudum Villa Park pale.we unaweza kuoa baamedi? tuanze hapo kwanza....Unaufahamu ukahaba?
Alikuwa anaufanyia wapi?
Hayo ndotunayaita majiniWakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo.
Namfahamu Oswayo vizuri Sana ni mfanyabiashara wa samaki aina ya sangara na Kwa aina ya u chumi wa Tanzania ana Mali ambayo ikipigiwa hesabu sio chini ya million 500.Kwa ufupi anajiweza Sana.
Kamuwezesha marehemu mke wake kwa kumfungulia saloni nzuri hapa mwanza na ndiyo chanzo Cha huyu mwanamke kuwa maalufu mitandaoni.
Huyu bwana sio kwamba ana mke mmoja tu ngoja nisiingie Sana ndani.Lakini inavoonekana Sababu kubwa hadi mauaji ni uwekezaje alioufanya kwa mke wake na matokeo yake ikaonekana mwanamke sio mwaminifu kwenye ndoa.kwa hiyo jamaa alimuua mke kwa Sababu ya dharau yani nimekutoa kwenye umasikini Leo unavimba na kunisaliti kwa kutumia Mali yangu na wanaume wenguline .
Ndugu zangu usije logwa ukaoa mwanamke kahaba ukazani ukimwezesha kiuchumi ataacha huo ukahaba ni big no na ndicho kimeikuta hii ndoa.
Sijahukumu lakini nimeandika ili tujifunze.
Jamaa kaacha wategemezi kibao na Mali zake kisa mwanamke kahaba.
Ukute kwenu bado mnapikia jiko la kuni.Kama mali zilikuwa na thamani ya milioni 500 bado alikuwa maskini tu
Duuuh!! Jamaa alijichanganya mwenyeweHuyo demu alishakua mhudum Villa Park pale.we unaweza kuoa baamedi? tuanze hapo kwanza....
Sahii kabisa"nimekutoa kwenye umasikini leo unavimba na kunisaliti na wanaume wengine kwa kutumia mali yangu?"..
Akina mama muwe mnawafunda watoto wenu juu ya tamaa ya mali za watu na muwaambie hatari iliyo mbele yao....issue hapo ni kukubali kuolewa na mtu ambaye unajua kinachokupeleka ni tamaa ya hela na maisha yake mazuri.....kama humpendi kuwa straight, huhitaji ndoa naye na umueleze huko mbele tutasumbuana maana moyo wangu hauko kwako.
Kukubali commitment huku ukijua shida ni umasikini na njaa zako ni hatari zaidi ya hatari....huyu bwana Said leo kafyatua risasi ila wapo watu anakutoa roho bila yeyote kujua kama yeye ndiye mhusika.
Wazazi tufundishe watoto madhara ya tamaa, Wazazi tuwakuze watoto kwenye maadili mema, Wazazi hasa akina mama wafundisheni watoto wakike wajue ni maana ya kuwa watoto wa kike na nafasi yao nini...MSIWAACHE WAKAFUNDISHWA NA AKINA JOYCE KIRIA, au kuwaona akina Wolper ndio marole model wao..
Mkuu nakuunga mkonoWakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo.
Namfahamu Oswayo vizuri Sana ni mfanyabiashara wa samaki aina ya sangara na Kwa aina ya u chumi wa Tanzania ana Mali ambayo ikipigiwa hesabu sio chini ya million 500.Kwa ufupi anajiweza Sana.
Kamuwezesha marehemu mke wake kwa kumfungulia saloni nzuri hapa mwanza na ndiyo chanzo Cha huyu mwanamke kuwa maalufu mitandaoni.
Huyu bwana sio kwamba ana mke mmoja tu ngoja nisiingie Sana ndani.Lakini inavoonekana Sababu kubwa hadi mauaji ni uwekezaje alioufanya kwa mke wake na matokeo yake ikaonekana mwanamke sio mwaminifu kwenye ndoa.kwa hiyo jamaa alimuua mke kwa Sababu ya dharau yani nimekutoa kwenye umasikini Leo unavimba na kunisaliti kwa kutumia Mali yangu na wanaume wenguline .
Ndugu zangu usije logwa ukaoa mwanamke kahaba ukazani ukimwezesha kiuchumi ataacha huo ukahaba ni big no na ndicho kimeikuta hii ndoa.
Sijahukumu lakini nimeandika ili tujifunze.
Jamaa kaacha wategemezi kibao na Mali zake kisa mwanamke kahaba.
mkuu demu akiwa baamed tu muogope kama ukomaHuyo demu alishakua mhudum Villa Park pale.we unaweza kuoa baamedi? tuanze hapo kwanza....
Kuna ma bar meid wakipata bahati ya kuolewa huwa wanatulia tulii utadhani sio yeye,mkuu NI tabia tu za watu...Kuna mabint ambao kila siku wanashinda masjid na makanisani lakini ngoja waingie kwenye ndoa ,ni wanavua chupi Kama wamechanganyikiwa ,Sasa hapo ndo unajua kumbe NI tabia ya mtu,Kuna watu umalaya ni upo damuni ,hata uwe na Mali kiasi gani ,haridhiki!!mkuu demu akiwa baamed tu muogope kama ukoma
piga na kusepa