Sio kila mwanamke anafaa KUOLEWA wengine wameumbwa kwa ajili ya kusterehesha wanaume ukilazimisha kumuoa wa namna hiyo basi kama sio jela utakufa tu

Sio kila mwanamke anafaa KUOLEWA wengine wameumbwa kwa ajili ya kusterehesha wanaume ukilazimisha kumuoa wa namna hiyo basi kama sio jela utakufa tu

"nimekutoa kwenye umasikini leo unavimba na kunisaliti na wanaume wengine kwa kutumia mali yangu?"..

Akina mama muwe mnawafunda watoto wenu juu ya tamaa ya mali za watu na muwaambie hatari iliyo mbele yao....issue hapo ni kukubali kuolewa na mtu ambaye unajua kinachokupeleka ni tamaa ya hela na maisha yake mazuri.....kama humpendi kuwa straight, huhitaji ndoa naye na umueleze huko mbele tutasumbuana maana moyo wangu hauko kwako.....

Kukubali commitment huku ukijua shida ni umasikini na njaa zako ni hatari zaidi ya hatari....huyu bwana Said leo kafyatua risasi ila wapo watu anakutoa roho bila yeyote kujua kama yeye ndiye mhusika...

Wazazi tufundishe watoto madhara ya tamaa, Wazazi tuwakuze watoto kwenye maadili mema, Wazazi hasa akina mama wafundisheni watoto wakike wajue ni maana ya kuwa watoto wa kike na nafasi yao nini...MSIWAACHE WAKAFUNDISHWA NA AKINA JOYCE KIRIA, au kuwaona akina Wolper ndio marole model wao..
Kubwa zaidi tuwafunze watoto wetu wa kike kujitegemea.
 
...huku kuna kuhukumu sana, wewe unajuaje kuwa huyo dada alikua hampendi mumewe na role model wake alikua Wolper?

Sorry, sijahukumu mtu bali nimetoa maangalizo kulingana na mazingira ya tukio..na taarifa za sources kwenye ground...

Lakini picha kubwa niliyonayo kulingana na exposure yangu ya maeneo mengi na mabinti zetu wa kitanzania...
 
sorry, sijahukumu mtu bali nimetoa maangalizo kulingana na mazingira ya tukio..na taarifa za sources kwenye ground...

Lakini picha kubwa niliyonayo kulingana na exposure yangu ya maeneo mengi na mabinti zetu wa kitanzania...

... Mkuu kusema humpendi mtu,una tamaa za mali zake,ni kumuhukumu to me, source kwenye grounds walishea kitanda kimoja na hio couple?...

...Mabinti wetu wa kitanzania wakoje? how different from chinese girls?, Indian girls?.. msitupakie watoto wetu wa kike wetu matope!..lol

...siku njema mkuu, nimejisikia tu kukujibu, kila mtu humu trust me amejifunza, maangalizo kwa kutumia reference ya dada wa watu sio vizuri!...
 
Wakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo.

Namfahamu Oswayo vizuri Sana ni mfanyabiashara wa samaki aina ya sangara na Kwa aina ya u chumi wa Tanzania ana Mali ambayo ikipigiwa hesabu sio chini ya million 500.Kwa ufupi anajiweza Sana.

Kamuwezesha marehemu mke wake kwa kumfungulia saloni nzuri hapa mwanza na ndiyo chanzo Cha huyu mwanamke kuwa maalufu mitandaoni.

Huyu bwana sio kwamba ana mke mmoja tu ngoja nisiingie Sana ndani.Lakini inavoonekana Sababu kubwa hadi mauaji ni uwekezaje alioufanya kwa mke wake na matokeo yake ikaonekana mwanamke sio mwaminifu kwenye ndoa.kwa hiyo jamaa alimuua mke kwa Sababu ya dharau yani nimekutoa kwenye umasikini Leo unavimba na kunisaliti kwa kutumia Mali yangu na wanaume wenguline .

Ndugu zangu usije logwa ukaoa mwanamke kahaba ukazani ukimwezesha kiuchumi ataacha huo ukahaba ni big no na ndicho kimeikuta hii ndoa.

Sijahukumu lakini nimeandika ili tujifunze.

Jamaa kaacha wategemezi kibao na Mali zake kisa mwanamke kahaba.
Hayo ndotunayaita majini
 
"nimekutoa kwenye umasikini leo unavimba na kunisaliti na wanaume wengine kwa kutumia mali yangu?"..

Akina mama muwe mnawafunda watoto wenu juu ya tamaa ya mali za watu na muwaambie hatari iliyo mbele yao....issue hapo ni kukubali kuolewa na mtu ambaye unajua kinachokupeleka ni tamaa ya hela na maisha yake mazuri.....kama humpendi kuwa straight, huhitaji ndoa naye na umueleze huko mbele tutasumbuana maana moyo wangu hauko kwako.

Kukubali commitment huku ukijua shida ni umasikini na njaa zako ni hatari zaidi ya hatari....huyu bwana Said leo kafyatua risasi ila wapo watu anakutoa roho bila yeyote kujua kama yeye ndiye mhusika.

Wazazi tufundishe watoto madhara ya tamaa, Wazazi tuwakuze watoto kwenye maadili mema, Wazazi hasa akina mama wafundisheni watoto wakike wajue ni maana ya kuwa watoto wa kike na nafasi yao nini...MSIWAACHE WAKAFUNDISHWA NA AKINA JOYCE KIRIA, au kuwaona akina Wolper ndio marole model wao..
Sahii kabisa
 
Wakuu kufuatia tukio lililotokea juzi jijini mwanza kwa wanandoa kutoana uhai basi nimeona nitoe ushauri wangu kidogo kuhusu hili jambo.

Namfahamu Oswayo vizuri Sana ni mfanyabiashara wa samaki aina ya sangara na Kwa aina ya u chumi wa Tanzania ana Mali ambayo ikipigiwa hesabu sio chini ya million 500.Kwa ufupi anajiweza Sana.

Kamuwezesha marehemu mke wake kwa kumfungulia saloni nzuri hapa mwanza na ndiyo chanzo Cha huyu mwanamke kuwa maalufu mitandaoni.

Huyu bwana sio kwamba ana mke mmoja tu ngoja nisiingie Sana ndani.Lakini inavoonekana Sababu kubwa hadi mauaji ni uwekezaje alioufanya kwa mke wake na matokeo yake ikaonekana mwanamke sio mwaminifu kwenye ndoa.kwa hiyo jamaa alimuua mke kwa Sababu ya dharau yani nimekutoa kwenye umasikini Leo unavimba na kunisaliti kwa kutumia Mali yangu na wanaume wenguline .

Ndugu zangu usije logwa ukaoa mwanamke kahaba ukazani ukimwezesha kiuchumi ataacha huo ukahaba ni big no na ndicho kimeikuta hii ndoa.

Sijahukumu lakini nimeandika ili tujifunze.

Jamaa kaacha wategemezi kibao na Mali zake kisa mwanamke kahaba.
Mkuu nakuunga mkono
Marehemu alizidiwa na hisia zake sanaa...
 
mkuu demu akiwa baamed tu muogope kama ukoma

piga na kusepa
Kuna ma bar meid wakipata bahati ya kuolewa huwa wanatulia tulii utadhani sio yeye,mkuu NI tabia tu za watu...Kuna mabint ambao kila siku wanashinda masjid na makanisani lakini ngoja waingie kwenye ndoa ,ni wanavua chupi Kama wamechanganyikiwa ,Sasa hapo ndo unajua kumbe NI tabia ya mtu,Kuna watu umalaya ni upo damuni ,hata uwe na Mali kiasi gani ,haridhiki!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom