Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Tangazo gani tena jamaniumelipia tangazo lakini,,tukija miminika huko DM uje kutuletea uzi humu.
😌😌 Ngoja waje wakwambieTangazo gani tena jamani
Uzi ufungwe 😄Mwanaume kutaka kumuelewa mwanamke ni kupoteza muda tu kwa sababu hawaeleweki na pia wenyewe hawaelewani.
Hahahahaaa ndivyo vilivyo kumbe😌😌 Ngoja waje wakwambie
HaswaaaaHahahahaaa ndivyo vilivyo kumbe
Wasukuma kwa kuhonga angalia usije ukaua kama Ngosha mwenzakoSio kila mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano kwamba hafai kuwa mke, Baadhi yao wanapitia magumu mengi mno yanayohitaji msaada wa fedha zaidi kuliko faraja, na kwakuwa anakuamini lazima akushirikishe.
Usimfikirie vibaya kama unacho msaidie
Hapana mkuu ni kweli wapo wenye matatizo hivyo inatupasa kuwa ivo, Mimi nilishakutanaga nao wa namna hiyo hapo ni kumkagua tu uliyenayeYaani mkuu umeamua kutusokota laivu kabisa..... sindio🤗
SeriouslyWasukuma kwa kuhonga angalia usije ukaua kama Ngosha mwenzako
Uzuri mama, dada, shangazi bibi yako nao ni wanawake🤸Wanawake wote malaya, style ndio tofauti
Tutoke huko maisha hayataki ivoMpaka wakumwage ubongo ndio somo litakua limekuingia
TUnajua unatafuta milage ya Id yako tu hamna zaid. Hata mwenyewe hukubalian na ukichokiandika sema ndio vile tenaTutoke huko maisha hayataki ivo
Hapana Mimi mutu ya watuTUnajua unatafuta milage ya Id yako tu hamna zaid. Hata mwenyewe hukubalian na ukichokiandika sema ndio vile tena
Hapana sio sawa kusema hivyo kumbuka umezaliwa na mwanamke piaWanawake wote malaya, style ndio tofauti