Sio kila Mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano hafai kuwa mke

Sio kila Mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano hafai kuwa mke

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Sio kila mwanamke anayekuomba pesa pindi mko kwenye mahusiano kwamba hafai kuwa mke, Baadhi yao wanapitia magumu mengi mno yanayohitaji msaada wa fedha zaidi kuliko faraja, na kwakuwa anakuamini lazima akushirikishe.

Usimfikirie vibaya kama unacho msaidie
 
Wasukuma kwa kuhonga angalia usije ukaua kama Ngosha mwenzako
 
Yaani mkuu umeamua kutusokota laivu kabisa..... sindio🤗
Hapana mkuu ni kweli wapo wenye matatizo hivyo inatupasa kuwa ivo, Mimi nilishakutanaga nao wa namna hiyo hapo ni kumkagua tu uliyenaye

Sio wale wa tuma na ya kutolea
 
Back
Top Bottom