Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Mabinti
Feb inamalizika
Umru unaenda
March tunaongelea robo Mwaka angalia yapi unapitia
Niwakumbushe tu kweli maisha magumu lakini KUNA jambo nimeona niwaase Leo hiii
Sio kila anaekutongoza anakupenda
Wengine wametumwa uzisome namba
Kumbuka na wewe ulieolewa huyu mwanaume kabla ya kukuoa alikuwa na wanawake zaidi ya wanna
Amka asbh meshukuru Mungu
Meshukuru kwa kukupenda
Meshukuru kwa kukutunza na KUWALIPIA ada watoto
Meshukuru Mungu kwa kuendelea kuwajali
Sasa vitu vidogo kama hivi mkikaa kimya usishangae ANARUDI saa nane HATA kama mumeo
Wanaume tumeumbwa kubembelezwa
Meshukuru kwa kuwaacha wotee aliotembeaa nao akakuta
Mwisho kabisa tukutane zamaradi tv
Usiku WA Aziz ki
Wanawake dini yetu kuolewa n kuhifadhiwa n HESHIMA n Suna
Tuheshimu wanaume
Alldbest
Pdidyjr2025