Sio kila mwenye mamlaka hustahili au anastahili mamlaka hayo

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo VIP!

Hili ni jambo ambalo nimefanyia utafiti muda mrefu kiroho Na kimwili Na nimejiridhisha pasipo shaka.

Ni kweli sio kila mwenye mamlaka au chenye mamlaka hustahili mamlaka Yale.Hutokea kitu au mtu wa ovyo Na mwenye akili au ufahamu wa chini Na wa ovyo akawa Na mamlaka Fulani.Na haimaanishi ni bora Na anafaa katika mamlaka hayo.

Mfano kuna mtu anaweza kuwa kiongozi ila in MTU wa ovyo Na akili zake ni duni au IQ ni ya chini Mnoo.Na watu hutokea kumuheshimu sio kwasababu ni bora au anastahili ila kwasababu wanaogopa au wanaheshimu mamlaka aliyonayo.

Mfano.kuna MTU anaweza kuwa kiongozi Kwa bahati tu au mazingira ya ajabu ajabu Na lakini ukimuangalia Na kumpima MTU huyo akili Yake,ufahamu Na uwezo upo chini kuliko mamlaka aliyonayo.

Mamlaka nikama utajiri humpata MTU au kitu chochote cha ovyo,cha kipumbavu Na cha kijinga.

Ndio maana wenye akili za juu baada ya kugundua haya wakaleta mfumo wa demokrasia Kwa lengo LA kuflash au kuondoa watu au kitu kama hichi ili kuwapata wanaostahili.

NB.usikiheshi kitu chenye malamlaka kama umemzidi uwezo wa kiufahamu na akili,Bali heshimu mamlaka aliyonayo.

Jiulize swali.hivi kama MTU wa ovyo Na MTU mwenye akili za chini Na duni anaweza kuwa mchawi Na kuuwa watu Na kuwabadilisha watu Na kuwa panya au kusimamiasha mvua Na kuwaua au kuwaharibu watu wenye akili vivyo hivyo Na mamlaka anaweza akawa nayo kitu au MTU duni asiyostahili kitu hicho

Ni wajibu usio kwepeka kupinga watu au vitu kama hivi milele kwasababu hawakustahili Na hawastahili mamlaka hayo mpaka wanaostahili wapate.
 
wenye akili walibuni katiba na sio demokrasia ili watua wa ovyo wakipata mamlaka wawe werevu kupitia katiba inayotoa muongozo wa namna ya kuongoza
 
Uchawi na mamlaka vinafanana kitu kimoja, vyote vinapenda kutumia nguvu mahali ambapo akili imefeli. Ndio maana viongozi wengi wajinga wanapenda vitisho kuliko hoja.
 
Hapo VIP!

Hili ni jambo ambalo nimefanyia utafiti muda mrefu kiroho Na kimwili Na nimejiridhisha pasipo shaka.

Ni kweli sio kila mwenye mamlaka au chenye mamlaka hustahili mamlaka Yale.Hutokea kitu au mtu wa ovyo Na mwenye akili au ufahamu wa chini Na wa ovyo akawa Na mamlaka Fulani.Na haimaanishi ni bora Na anafaa katika mamlaka hayo.

Mfano kuna mtu anaweza kuwa kiongozi ila in MTU wa ovyo Na akili zake ni duni au IQ ni ya chini Mnoo.Na watu hutokea kumuheshimu sio kwasababu ni bora au anastahili ila kwasababu wanaogopa au wanaheshimu mamlaka aliyonayo.

Mfano.kuna MTU anaweza kuwa kiongozi Kwa bahati tu au mazingira ya ajabu ajabu Na lakini ukimuangalia Na kumpima MTU huyo akili Yake,ufahamu Na uwezo upo chini kuliko mamlaka aliyonayo.

Mamlaka nikama utajiri humpata MTU au kitu chochote cha ovyo,cha kipumbavu Na cha kijinga.

Ndio maana wenye akili za juu baada ya kugundua haya wakaleta mfumo wa demokrasia Kwa lengo LA kuflash au kuondoa watu au kitu kama hichi ili kuwapata wanaostahili.

NB.usikiheshi kitu chenye malamlaka kama umemzidi uwezo wa kiufahamu na akili,Bali heshimu mamlaka aliyonayo.

Jiulize swali.hivi kama MTU wa ovyo Na MTU mwenye akili za chini Na duni anaweza kuwa mchawi Na kuuwa watu Na kuwabadilisha watu Na kuwa panya au kusimamiasha mvua Na kuwaua au kuwaharibu watu wenye akili vivyo hivyo Na mamlaka anaweza akawa nayo kitu au MTU duni asiyostahili kitu hicho

Ni wajibu usio kwepeka kupinga watu au vitu kama hivi milele kwasababu hawakustahili Na hawastahili mamlaka hayo mpaka wanaostahili wapate.
Kwenye Biblia Takatifu Kuna mstari unasema,

"Tiini mamlaka kwa maana kila mamlaka hutoka kwa Mungu"!

Hii unaisemeaje? Kwamba Biblia Takatifu inasema uongo kwa mujibu wa utafiti wako?
 
Kama kuna manabii na makristo wa uwongo(watumishi wabshetani)hivyo hivyo kuna mamlaka itokayo Kwa shetani.

Pia kuna maandiko yamechomekwa kwenye biblia Na wanadamu Na sio kauli ya Mungu.
 
Ni Kweli kabisa!

Na si Kila mwenye akaunti JF ni great thinker na uwezo wa kuanzisha mada. Wengine ni wachambaji tu wanaofanya jitihada za kuficha umburura wao, uchambaji wao, ukilza wao, chuki zao kwa kiongozi flani kutokana na ushamba wao, wivu n.k lakini wanajifichia JF kwa kuanzisha vimwada uchwara vyao.
 
Ukiwa na IQ duni au MTU wa ovyo unaweza kusimamia katiba?
Katiba ni sheria. Haisimamiwi bali inatumiwa na wanaongoza ili waongoze kwa haki . Samia anaitawala hii nchi kwa hisia zake mwenyewe hajui hata maana ya katiba wala demokrasia.
 
Un
Ni Kweli kabisa!

Na si Kila mwenye akaunti JF ni great thinker na uwezo wa kuanzisha mada. Wengine ni wachambaji tu wanaofanya jitihada za kuficha umburura wao, uchambaji wao, ukilza wao, chuki zao kwa kiongozi flani kutokana na ushamba wao, wivu n.k lakini wanajifichia JF kwa kuanzisha vimwada uchwara vyao.
Unateseka ukiwa WAP?
 
Back
Top Bottom