Sio kitu chema kuoa mwanamke aliyeachika/kuachwa

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Naam,
Kijana zingatia sana unapohitaji kuoa basi usioe mwanamke aliyewahi kuachika, yaani aliyewahi kuolewa na mwanamume kisha akaachika. Usioe,.

Pia kama kaachika na mtoto au watoto huyo ndio USIOE KABISA, kaa nae mbali.

Unajua kwanini nimekwambia hayo? Basi tumia mda wako kusoma andiko langu kwa siku ya leo unaweza jifunza jambo jema.

:Ni wako UWESUTANZANIA

Kwanza kabisa mwanamke haolewi kirahisi,.
Anaolewa na mtu ambaye ameshakuwa na matumaini nae katika maisha yake yote, kuwa yeye ni wa yeye tu mpaka kuzeeka kwao.

Hivyo inapotokea WAKAACHANA basi tambua kuwa kuna mambo mawili tu,

I) Mwanamke kaamua kuvunja ndoa kwa kuchoshwa na tabia za mwanamume (TABIA MBAYA au kutoyakubali maisha ya mwanamume (Hali ya kiuchumi,familia au jamii,

II) Mwanamume kaamua kuvunja ndoa kwa kuchoshwa na kushindwa kuendelea kuvumilia tabia na vitendo vya mkewe (TABIA MBAYA, umalaya, uvivu nk.

Sasa hapo ndugu yangu msomaji hayo mambo mawili yote ni mabaya kwako.

Tukianza na jambo la kwanza (MKE KUVUNJA NDOA

huyu mke hakufai kijana kwasababu anaonyesha sio mvumilivu wa hali na changamoto za kimaisha.
Kama kaweza vunja ndoa kwa mumewe wa kwanza basi ataweza vunja na kwako pia.
Mwanamke bora ni yule mwenye kuvumilia vipindi vyote vya kimaisha na nyakati mbalimbali na tabia za MUME WAKE.

TUKIENDA KWENYE SWALA LA PILI
MUME kuamua kuvunja ndoa kutokana na tabia mbaya za mke wake.

Huyu pia hakufai kijana.
Kama MWANAMUME mwenzio kashindwa vumilia tabia mbaya za huyo mwanake basi hata na wewe utashindwa tu. Unakuta mwanamke (hana heshima na mumewe, mwanamke haichagui mpishi kila mtu anatumia chungu chake (malaya)
hajui kupika hana adabu na wakwe zake. Wewe ndio umuweze kweli?

Utashindwa tu.

Siku nyingine nitakuja ongelea swala la mwanake mwenye mtoto au watoto.
 
Inategemea mkuu, sio wanawake wote walio achika kwamba wanaweza kuwa wabaya hapana
 
Mm sio mwanamke!! Ila ukiangalia thread nyingi humu zimejaa mijadala ya kujadili wanawake!! Kweli Dunia ni mfumo DUME kuanzia kwenye dini hadi mtaani!! Wanawake kazi wanayo!!!
 
Naam,
Kijana zingatia sana unapohitaji kuoa basi usioe mwanamke aliyewahi kuachika, yaani aliyewahi kuolewa na mwanamume kisha akaachika. Usioe,.

Pia kama kaachika na mtoto au watoto huyo ndio USIOE KABISA, kaa nae mbali.

Unajua kwanini nimekwambia hayo? Basi tumia mda wako kusoma andiko langu kwa siku ya leo unaweza jifunza jambo jema.

:Ni wako UWESUTANZANIA

Kwanza kabisa mwanamke haolewi kirahisi,.
Anaolewa na mtu ambaye ameshakuwa na matumaini nae katika maisha yake yote, kuwa yeye ni wa yeye tu mpaka kuzeeka kwao.

Hivyo inapotokea WAKAACHANA basi tambua kuwa kuna mambo mawili tu,

I) Mwanamke kaamua kuvunja ndoa kwa kuchoshwa na tabia za mwanamume (TABIA MBAYA au kutoyakubali maisha ya mwanamume (Hali ya kiuchumi,familia au jamii,

II) Mwanamume kaamua kuvunja ndoa kwa kuchoshwa na kushindwa kuendelea kuvumilia tabia na vitendo vya mkewe (TABIA MBAYA, umalaya, uvivu nk.

Sasa hapo ndugu yangu msomaji hayo mambo mawili yote ni mabaya kwako.

Tukianza na jambo la kwanza (MKE KUVUNJA NDOA

huyu mke hakufai kijana kwasababu anaonyesha sio mvumilivu wa hali na changamoto za kimaisha.
Kama kaweza vunja ndoa kwa mumewe wa kwanza basi ataweza vunja na kwako pia.
Mwanamke bora ni yule mwenye kuvumilia vipindi vyote vya kimaisha na nyakati mbalimbali na tabia za MUME WAKE.

TUKIENDA KWENYE SWALA LA PILI
MUME kuamua kuvunja ndoa kutokana na tabia mbaya za mke wake.

Huyu pia hakufai kijana.
Kama MWANAMUME mwenzio kashindwa vumilia tabia mbaya za huyo mwanake basi hata na wewe utashindwa tu. Unakuta mwanamke (hana heshima na mumewe, mwanamke haichagui mpishi kila mtu anatumia chungu chake (malaya)
hajui kupika hana adabu na wakwe zake. Wewe ndio umuweze kweli?

Utashindwa tu.

Siku nyingine nitakuja ongelea swala la mwanake mwenye mtoto au watoto.
sio kweli, hata kama alishikiwa panga avumilie tuu?
 
Back
Top Bottom