Na Ruvuma kwenye makaa ya mawe pia aende.Nenda pale mtwara,nenda geita na mara utajua yote kuwa faida ni ya ccm tena wachache.
ROSTAM AZIZI KAUA SANA WATANGANYIKA..ILA WAISLAMU WANAMFUMBIA MACHO JAPO HUKO ALIUA WAISLAMUBei ya gas hipo juu
Kwa sasa tunafaidika vipi na gas ya Mtwara iliyoua watanzania na kuwafanya vilema Watanzania wenzetu? Kimya cha wan Tanzania kuhusu gas ya Mtwara kina nipa mashaka sana watanzania tumekua makondoo kuhusu rasilimali zetu.
Inafaidisha vipoba tu pale chuo Mlimani majumbani kwao, zile hostel ( zamani) sahivi ni nyumba za waalimu wa chuo na wengine wa Mikocheni huko kwa kifupi wanaona wananchi wakipata nafuu ya nishati wao hawatapata kitu. Hawataweza kuuza gesi kwa bei wanazotuuzia manyang'au wakubwa hawa hawana huruma hata roboBei ya gas hipo juu
Kwa sasa tunafaidika vipi na gas ya Mtwara iliyoua watanzania na kuwafanya vilema Watanzania wenzetu? Kimya cha wan Tanzania kuhusu gas ya Mtwara kina nipa mashaka sana watanzania tumekua makondoo kuhusu rasilimali zetu.
Ujinga wa halaiki ni changamoto.Nenda pale mtwara,nenda geita na mara utajua yote kuwa faida ni ya ccm tena wachache.
Wasomi wenyewe akina Pro Mhongo, Prof wa kuokotwa jalalani wote wamekimbilia kwenye siasa ambako kuna ulaji mkuu, ni wengi akna Mkenda na wengineo wengi.Ujinga wa halaiki ni changamoto.
Visima, miundombinu ya gesi, migodi mikubwa humilikiwa na wageni, watanzania wakibaki na makaratasi (mikataba) na makombo.
Hakuna njia nyingine nyepesi ya kueleza hili.
Fikra za Mwalimu Nyerere za kusubiri tupate wataalamu wa kuvuna raslimali zetu hazikupata wa kuendeleza.
Tunazalisha vijana wasomi lakini hawana uwezo kwa sababu wanasiasa wajinga wapo na mamlaka ya kuuza.
Jpm msikilize YouTube Alisema ikishakuwa, kama Rais Alisema hivyo wewe unauliza nini?Bei ya gas hipo juu