Sio kwamba waamuzi wamebadilika, bali walalamishi wamepata ubingwa

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ni aibu kwa wachambuzi wetu kusifu eti kwamba waamuzi mwaka huu wame improve.

Waamuzi wamekuwa wakifanya yale yale yaliyoganyika mwaka jana. Tofauti kubwa ni kuwa, walalamishi wengi walikuwa upande wa timu iliyopata ubingwa.

Hata TFF wanasifiwa kuwa wamejitahidi sana ukilinganisha na miaka iliyopita.

Leo tu kuna wachambuzi wamemkosoa mwamuzi eti kamnyima Mayele kiatu.Kwamba Mayele alifunga goli halali,ila amenyimwa naksudi.

Lawama kama hizo sikuwahi kuzisikia wakati akina Boko,Kagere,Mugalu na wengine wengi wasio wachezaji wa timu yao waliponyimwa magoli kwa mwamuzi kuona wako offside.

Kwa ujumla mtasikia lawama za waamuzi wa CAF timu yao ikifanya vibaya. Mnaweza kuhisi mambo yamebadilika sana kumbe ni wao wanatumia vizuri midomo na kalamu zao kulaumu waamuzi ili siku zote wawe upande wao kama ilivyokuwa mwaka huu kwa NBL.
 
hapa unalalamika in silent mode pole kolo
Ninajibu hoja za wachambuzi mandazi wanaosifu waamuzi tofauti sana na mwaka jana walilaumu wazi wazi kiasi kwamba hakuna aliyeona mchango wa wachezaji wakubwa ambao wengine Leo wanasajiliwa na timu zao.

Waamuzi ni wale.wale,hawajabadilika
 
haya concern yako hapa ni ipi kwamba waamuzi wame improve au wapo hovyo ili tujadilri
 
Attachments

  • 20220629_202328.jpg
    20220629_202328.jpg
    20.7 KB · Views: 3
haya concern yako hapa ni ipi kwamba waamuzi wame improve au wapo hovyo ili tujadilri
Waamuzi ni binadamu,lazima tuwakubali hivyo hivyo kwa ubinadam wao kama ambavyo mwaka huu tumekubali yanga ni bingwa,hatupaswi kulalamikia waamuzi ama TFF.Tunawapa pongezi yanga kwa kufanikiwa hivyo.
 
Ni aibu kwa wachambuzi wetu kusifu eti kwamba waamuzi mwaka huu wame improve.

Waamuzi wamekuwa wakifanya yale yale yaliyoganyika mwaka jana. Tofauti kubwa ni kuwa, walalamishi wengi walikuwa upande wa timu iliyopata ubingwa.

Hata TFF wanasifiwa kuwa wamejitahidi sana ukilinganisha na miaka iliyopita.

Leo tu kuna wachambuzi wamemkosoa mwamuzi eti kamnyima Mayele kiatu.Kwamba Mayele alifunga goli halali,ila amenyimwa naksudi.

Lawama kama hizo sikuwahi kuzisikia wakati akina Boko,Kagere,Mugalu na wengine wengi wasio wachezaji wa timu yao waliponyimwa magoli kwa mwamuzi kuona wako offside.

Kwa ujumla mtasikia lawama za waamuzi wa CAF timu yao ikifanya vibaya. Mnaweza kuhisi mambo yamebadilika sana kumbe ni wao wanatumia vizuri midomo na kalamu zao kulaumu waamuzi ili siku zote wawe upande wao kama ilivyokuwa mwaka huu kwa NBL.
Mkuu , Una kipaji kikubwa Sana cha kudadavua mambo . Na ndivyo ilivyo.
 
Bongo hakuna wachambuzi kuna wafuata upepo tu. Jiulize hao wachambuzi waliucheza mpira wapi..? Wameusomea mpira wapi.?
 
Ni aibu kwa wachambuzi wetu kusifu eti kwamba waamuzi mwaka huu wame improve.

Waamuzi wamekuwa wakifanya yale yale yaliyoganyika mwaka jana. Tofauti kubwa ni kuwa, walalamishi wengi walikuwa upande wa timu iliyopata ubingwa.

Hata TFF wanasifiwa kuwa wamejitahidi sana ukilinganisha na miaka iliyopita.

Leo tu kuna wachambuzi wamemkosoa mwamuzi eti kamnyima Mayele kiatu.Kwamba Mayele alifunga goli halali,ila amenyimwa naksudi.

Lawama kama hizo sikuwahi kuzisikia wakati akina Boko,Kagere,Mugalu na wengine wengi wasio wachezaji wa timu yao waliponyimwa magoli kwa mwamuzi kuona wako offside.

Kwa ujumla mtasikia lawama za waamuzi wa CAF timu yao ikifanya vibaya. Mnaweza kuhisi mambo yamebadilika sana kumbe ni wao wanatumia vizuri midomo na kalamu zao kulaumu waamuzi ili siku zote wawe upande wao kama ilivyokuwa mwaka huu kwa NBL.
Bumba bush na wewe kalalamishi tu

Ufyante

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Ni aibu kwa wachambuzi wetu kusifu eti kwamba waamuzi mwaka huu wame improve.

Waamuzi wamekuwa wakifanya yale yale yaliyoganyika mwaka jana. Tofauti kubwa ni kuwa, walalamishi wengi walikuwa upande wa timu iliyopata ubingwa.

Hata TFF wanasifiwa kuwa wamejitahidi sana ukilinganisha na miaka iliyopita.

Leo tu kuna wachambuzi wamemkosoa mwamuzi eti kamnyima Mayele kiatu.Kwamba Mayele alifunga goli halali,ila amenyimwa naksudi.

Lawama kama hizo sikuwahi kuzisikia wakati akina Boko,Kagere,Mugalu na wengine wengi wasio wachezaji wa timu yao waliponyimwa magoli kwa mwamuzi kuona wako offside.

Kwa ujumla mtasikia lawama za waamuzi wa CAF timu yao ikifanya vibaya. Mnaweza kuhisi mambo yamebadilika sana kumbe ni wao wanatumia vizuri midomo na kalamu zao kulaumu waamuzi ili siku zote wawe upande wao kama ilivyokuwa mwaka huu kwa NBL.
Kwa hiyo unahitaji msaada gani? Maana ulichokiandika hata hakieleweki.
 
Yaani hapo nimesoma taito only.... aisee umeupiga mwingi kama bitozo
 
Hivi kama hao kina Boko, Mugalu na wengineo uliowataja kama kweli walinyimwa magoli halali hukuwahi kusikia wachambuzi wakilalamika kwa kunyimwa magoli halali au umeghubikwa tu na ukolo.
 
Back
Top Bottom