Ni aibu kwa wachambuzi wetu kusifu eti kwamba waamuzi mwaka huu wame improve.
Waamuzi wamekuwa wakifanya yale yale yaliyoganyika mwaka jana. Tofauti kubwa ni kuwa, walalamishi wengi walikuwa upande wa timu iliyopata ubingwa.
Hata TFF wanasifiwa kuwa wamejitahidi sana ukilinganisha na miaka iliyopita.
Leo tu kuna wachambuzi wamemkosoa mwamuzi eti kamnyima Mayele kiatu.Kwamba Mayele alifunga goli halali,ila amenyimwa naksudi.
Lawama kama hizo sikuwahi kuzisikia wakati akina Boko,Kagere,Mugalu na wengine wengi wasio wachezaji wa timu yao waliponyimwa magoli kwa mwamuzi kuona wako offside.
Kwa ujumla mtasikia lawama za waamuzi wa CAF timu yao ikifanya vibaya. Mnaweza kuhisi mambo yamebadilika sana kumbe ni wao wanatumia vizuri midomo na kalamu zao kulaumu waamuzi ili siku zote wawe upande wao kama ilivyokuwa mwaka huu kwa NBL.