Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Hapana mwanaume hapati hedhi ila wakati mwengine homons zake hua zinabadilika na kupata dalili sawa na zile dalili za period ya mwanamke, mood swings, angry, low libido, headaches, n.k, wanaita Man Period.Ngoja waje, dada yao mkubwa Dr. Mariposa atawapiga tafu kwa hoja nzitonzito.
๐Popoma pekee ndio anaepata hedhi
ELI COHEN tia neno hapa, na wewe huwa unapata "Man period"??Hapana mwanaume hapati hedhi ila wakati mwengine homons zake hua zinabadilika na kupata dalili sawa na zile dalili za period ya mwanamke, mood swings, angry, low libido, headaches, n.k, wanaita Man Period.