Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake.
Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete zinazovaliwa na watu mbalimbali wakiwemo Mashehe, Wachungaji, Maaskofu na watu mbalimbali. Huwa inakuwa na ulinzi dhidi ya mashambulizi ya nguvu za mapepo na majini wabaya, huongeza mvuto mbele ya jamii, hukinga dhidi ya nuksi, balaa na mikosi.
Lakini kwa siku za hivi karibuni utaratibu wa uvaaji Pete unaonekana kupunguza. Sasa hivi Watu wamebadirisha utaratibu kwa kuweka ulinzi, mvuto, King kwa kutumia saa za mikononi. Mfano kama hii picha hapa inaonekana huyu Tajiri kavaa saa 2 lakini hapo saa ni moja tu nyingine ina vitu yake kwa ajili ya Ulinzi, Mvuto, kinga nk
Hii taarifa ya kuhifadhi vitu nimeifanyia utafiti toka mwaka jana mwezi April mpaka nimefikia kuandika huu uzi. Na vile vile sio kwenye Saa ya mkononi tu hata kwenye Chaja za Airpods na vijana wengi sasa hivi wanavaa vipochna kuvining'iniza kwenye hooks za suruali.
Crocodiletooth
Herbalist Dr MziziMkavu
BIN NUN
Mshana Jr
Kama mna la kuongeza naomba mzidi kutuhabarisha.
Nawasilisha