BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Mambo mengine yanahitaji ubukue haswaaNdugu yangu BIN NUN unavyosema mtume, nabii sulayman na khulafaau rashidiyn walivaa pete hakuna ataekupinga... ila usije ukatudanganya kwamba walivaa kama kinga huo ni uongo uliotukuka, pete walizivaa kama muhuli kwani watawala wa zama hizo hawakuikubali barua yoyote ambayo haikuwa na muhuli wa mtawala mwingine, ndipo rasuwlillahi swallahu alayhi wasallam akaamua kuwa na pete ya fedha (silver) ambayo upande wa kichwa iliandikwa "muhammad rasuwlullah" (muhammad mjumbe wa allah) nayo ndiyo aliitumia kama muhuri. Muhuri ambao ulitumiwa na makhalifa waliofatia.......
Wakati Musa anaambiwa Kuna mtu ana elimu zaidi yake Qur an inasema Musa alipoenda hanarini alimkuta moja mwenye elimu gani?
Wakati Aswaf bin barhiyya waziri wa nabii sulayman anatoa jibu la kuleta kiti Cha mfalme wa kike Qur an inasema alikuwa na Elimu gani! Inasema elimu ya kitabu si ndio?
Ni ipi hiyo elimu ya kitabu?
Hata Mimi nilikuwa Kama wewe kusoma kwa kukaririshwa nakala lakin nikaingia kusoma ndo nikaelewa ukweli..
Umentajia kitabu!! Hehehe mkuu sizani Kama Kuna kitabu kimeelezwa tauhid kwa ufaswaha Kama kitabu Cha imamu shafi Cha majmughi arbagha rasaila ....
Huku nilishapita we kazana kusoma utaelewa.