1: kuhusiana suala la Asif bado lina khilaf kibao licha ya kwamba qawl inayokubalika sana ni ta'ariful "ismu al adhwam"......... 2😛ia suala la khidhri lipowazi katika Quran kuwa ni wahyi kama ambavyo suratul kahf:82 inavyo malizia ".... nasikulitenda hayo kwa amri(matashi/nguvu) yangu..." bimaana ni kutoka kwa Allaah tabaaraka wa ta'ala... 3:kuhusu jina la dola ya sulayman Quran imeitaja kama mulku sulayman (ufalme wa sulayman).. nimekujibu bana nasubiri tu hiyo hadithi uliyonayo wewe. wallaahu a'lamNikakuambia hivi:
Qur ani inamtaja waziri wa nabii sulayman alieleta kiti Cha malkoa balqays alikuwa na ELIMU YA KITABU nikakuuliza ma huwa elimu likitabu?
Pili nikasema Qur ani inamtaja mtu aliekuwa na Elimu kuliko nabii Musa ambae ni nabii l-khizri inamtaja kwa kusema musa akamkuta mja katika waja wa Mungu aliepewa Elimu mina laduna
Nikakuuliza ma huwa Elimu mina Laduna?