Sio kwenye Pete tu hata kwenye saa

1: kuhusiana suala la Asif bado lina khilaf kibao licha ya kwamba qawl inayokubalika sana ni ta'ariful "ismu al adhwam"......... 2πŸ˜›ia suala la khidhri lipowazi katika Quran kuwa ni wahyi kama ambavyo suratul kahf:82 inavyo malizia ".... nasikulitenda hayo kwa amri(matashi/nguvu) yangu..." bimaana ni kutoka kwa Allaah tabaaraka wa ta'ala... 3:kuhusu jina la dola ya sulayman Quran imeitaja kama mulku sulayman (ufalme wa sulayman).. nimekujibu bana nasubiri tu hiyo hadithi uliyonayo wewe. wallaahu a'lam
 
Kwa majibu haya bado nawe unajiita msomi wa dini?
Nitajishushia hadhi yangu kuendelea kujibishana nawe.
 
that's why ninasisitiza ukasome aqida vizuri, ndo nini hicho umeandika hapo juu?... Rudi ukasome mlango unaohusu hofu/kuogopa, mfano binaadamu anaogopa simba na nyoka ilhali Allah ndiye wakuogopwa. kasome vizuri uone ni namna gani ulamaa wanaliweka sawa hili. tafuta hiki kitabu "al irshaad ilaa swahiyhu al i'tiqaadiy"
 
ndugu yangu BIN NUN nasikitika kusema ya kwamba nimegundua kuwa hauna swahiyh bukhaari nyumbani kwako, lau kama ungekuwa nacho usingeandika hilo shudu hapo juu. Uthman alitupa pete?!, ilimdondoka katika kisima cha Aris. ukishakunywa chai nenda kanunuwe sahiyh bukhaariy haraka iwezekanavyo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Vijana mna kazi kweli kweli.
Sina kitabu halafu nimejua Pete ilitupwa kisimani.
Sawa Sina kitabu nitakitafuta.
Nilikuuliza nini maana ya Elimu likitabu kwa mujibu wa Qur an hujajibu
Nikakuuliza nini maana ya Elimu laduna hukujibu.
Itoshe kusema haya ngoja Nami nikasome niwe Kama wewe.
 
Sasa mtu anasema nikivaa Pete Kama Kinga ni shirki basi hata kutumia bunduki ni shirki Sasa mbona wao waarabu wanatumia bunduki Kama Kinga!
hii tunaita ni mafhumul mukhaalafah.. Pia ni nani alikwambia kwamba hii dini ni ya waarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…