Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Chuki imekuwa la. Elimu elimu ElimuNashauri uongozi mkuu utoe maelekezo maalum kwa taasisi na mashirika. Kama taasisi au shirika lina semina/ mafunzo/ vikao 10 kwa mwaka, kwa kuanzia, walau kikao/ semina moja ifanyikie katika mikoa hiyo.
Hii itasaidia kuiunganisha nchi kiuzalendo na mzunguko wa uchumi.
Mambo ya kupeleka kila kitu Arusha hayajengi uwiano wa kieneo kwa nchi
Mji umejaaa mam mamwinyi nani aje hukoUngesema mtwara at least na ruvuma labda songea,lindi hiyo kumbi za kutosha vikao vya kiserikali hakuna kungekuwa na jam foleni lodges chache zenye ubora,watu matukio ya kitaifa wanachukua lodge mtwara na matukio yanafanyika lindi..its nonsense.
wajipange kwanza ndipo hizo fursa zije mjini lakini pamekaa kama kijijini bhana 🤣
cc: ndege JOHN
Na hakuna hoteli/nyumba za wageni za kutosha,huduma za kuaminika za usafiri wa ndani/tax-cabs,kumbi za kueleweka kwa mikutano nk.Unapelekaje semina mikoa haina hela 😂
Naunga mkono hoja, sumbawanga pia na Kigoma, lakini tatizo "facilities", tuanze na hili kwanza kwa viongozi wetu wa mikoa kuchangamka nalo, waige mfano wa Makonda, hasa kuhusu ubunifu.Nashauri uongozi mkuu utoe maelekezo maalum kwa taasisi na mashirika. Kama taasisi au shirika lina semina/ mafunzo/ vikao 10 kwa mwaka, kwa kuanzia, walau kikao/ semina moja ifanyikie katika mikoa hiyo.
Hii itasaidia kuiunganisha nchi kiuzalendo na mzunguko wa uchumi.
Mambo ya kupeleka kila kitu Arusha hayajengi uwiano wa kieneo kwa nchi
Kwanini huulizi mbona kuna taasisi nyingi za Africa Mashariki na pia Africa pale Arusha? Usifananishe Arusha na miji mingine hata Dodoma na Dar hawana umuhimu kama Arusha linapokuja suala la mikutano.Nashauri uongozi mkuu utoe maelekezo maalum kwa taasisi na mashirika. Kama taasisi au shirika lina semina/ mafunzo/ vikao 10 kwa mwaka, kwa kuanzia, walau kikao/ semina moja ifanyikie katika mikoa hiyo.
Hii itasaidia kuiunganisha nchi kiuzalendo na mzunguko wa uchumi.
Mambo ya kupeleka kila kitu Arusha hayajengi uwiano wa kieneo kwa nchi
Kulitakiwa kuwe na makao ya kikanda , mbona BOT wana tawi lao Mtwara? Serikali ndio imechemsha yenyewe kufanya distribution ya rseource hata ile gas waitaka kupeleka mikoa kuwaacha wazaw hawana kitu .Nguvu ni lazima zitoke katika mipango ya viongozi waliopo ndani ya mkoa husika, mipango thabiti, nia za dhati, na tusisahau GOEGRAPHICAL POSITIONS!...
MFANO, Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro ameanza kuyaona haya vyema, yupo anapigana na Wawekezaji ili kuona wanajenga kumbi na hotel za hadhi ya juu, huu tunauita utendaji wa kujiongeza,sasa yuko mkuu wa mkoa kabisa hajiongezi yeye ni kupigana na senti za halmashauri na tozo mbalimbali, anasahau kushughulika na wawekezaji mbalimbali, mwishowe anadumaza eneo la mkoa wake, kuna Mkeka unatoka wa wakuu wa mikoa stay tune!, kuna wakuu wa mikoa ni mizigo!
Tumia kichwa kufikiri na siyo kufuga nywele tu.Tatizo huna akili, ndio maana hujaelewa
Hiyo iko kwenye plan usanifu umeshaanza ujenzi utaanza soonNgoja nije kuwa Raise 2040.. Lindi, Mtwara na Ruvuma watainjoi sana..
Nitajenga SGR kutoka Dar, Lindi, Mtwara mpaka Mbababay