Oscar Wissa
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 108
- 170
Joshua aliomba Mungu asimamishe jua, ingawa hakuwa na uelewa wa kisayansi kwamba ni dunia inayozunguka, siyo jua. Lakini pamoja na ufinyu wa uelewa wake, Mungu alijibu ombi lake, na usiku haukuingia hadi vita ilipoisha. Mungu alisimamisha dunia kwa muda ili kutimiza ahadi yake.
Hii ni nguvu ya imani – Mungu hafanyi kazi kwa kanuni za sayansi, bali kwa imani ya waja wake. Anaweza kufanya zaidi ya tuombavyo au tuwazavyo. Sio lazima uelewe kila kitu, bali amini tu. Yesu Kristo anaweza yote.
Sijui atafanyaje ila ninachojua atafanya!