MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Ni wivu tuUtaacha lini huu utoto ?
Pamoja mkuu [emoji3]ila walevi busara tunazitoa wapi ?Happy birthday mlevi mwenye busara zake.
Happy Birthday Sana Bwana Mlevi
Naona B-Day imetua Weekend Tupenae Ramani Leo wapi tunakesha
Borndate mkuu...
Muambie mtawa siku hizi ushakua hadi unajua chimbo zote za kupata viburudisho online bila kusahau gambee [emoji16]
Hongera sana mlevi, Uzidi kukuwa na amani, upendo na mafanikio tele!!
Mimi nipo kwa walinzi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kati ya wenye busara wewe ni miongoni mwao😅
Mimi nipo kwa walinzi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mengine nakutana nayo kwenye pitapita zangu tu
Kati ya wenye busara wewe ni miongoni mwao[emoji28]