Sio mbaya kuisherekea hata mara moja

Sio mbaya kuisherekea hata mara moja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Posts
8,514
Reaction score
15,050
Leo ndiyo nimekumbuka hii ndo siku niliyozaliwa hii tarehe (according to matron alikuwa mtawa wa kike hapo nilipokulia), namshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote kwa sikuu hii [emoji846][emoji120]nitegemee kuzianza siku 365 nyengine

Japo siku hizi ukizesherekea au kuzitilia maanani hukawii kubezwa na mabaharia [emoji3]na walimwengu, hukawii kuitwa Miss Pink mara teenage mara cheerleader ukicheki we ni dume la miraba minne.

Ila Mara moja sio mbaya kusherekea kwa hiyo mabaharia bado nipo kwenye chama.

Happy born day to me.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom