vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na hatuwadai viongozi hakika malengo yetu ya msimu tumefanikiwa. Tuna kombe la robo fainali, kombe la kufa kiume CAF na Twitter.