Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #21
Njaa mbaya sana inaleta chuki tafuta hela 🤣🤣🤣🤣Mashine wapi., alikua anapumulia mnduku uyo (elewa neno mnduku)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa mbaya sana inaleta chuki tafuta hela 🤣🤣🤣🤣Mashine wapi., alikua anapumulia mnduku uyo (elewa neno mnduku)
Wanachuki na wivu 🤣🤣🤣Kwani amekosea nini, mbona mnamshambulia?
Mdogo wako nani wewe Sina kaka masikini Mimi itakua umechanganyikiwaNi utani tu mkuu.. huyu mdogo wetu show-offs zake tunazijua
Hongera mkuu, mwaka wako huu ndio kwanza ligi zinaanza. Billionaire mtarajiwa kupitia bettingNimeweka makusudi hapa Ili niwaone masikini kama wewe mnavyoumia
Ndio maana yake lazima niwe billionaireHongera mkuu, mwaka wako huu ndio kwanza ligi zinaanza. Billionaire mtarajiwa kupitia betting
Soon utakuwa tirionea mkuu. Kila lakheriNdio maana yake lazima niwe billionaire
Ndio kwani unaumiaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣Soon utakuwa tirionea mkuu. Kila lakheri
Wewe bado sana umeanaa kubet juzi nini kwahiyo sport pesa na M bet ndio makampuni lakubwa yaliyopo tanzaniaMakampuni ya kamari ni menngi sana Tanzani; huenda takriban 100. Lakini je makampuni makubwa ni yapi? Ninajua SportPesa na MBet ni makubwa je mengine ni yapi; nimeahi kusoma uwpo wa WasafiBet, PMBet, Betika na Meridianbet. Mengine ni yapi, na je huwa kweli watu huwa wanahsinda na kupata hela au wote huishia kuchangia kwenye mkoba wa kampuni na kubakiza wachache kama mheshimiwa kuhamasisha wengine
Ayo makampuni wanatumia niche punters...Makampuni ya kamari ni menngi sana Tanzani; huenda takriban 100. Lakini je makampuni makubwa ni yapi? Ninajua SportPesa na MBet ni makubwa je mengine ni yapi; nimeahi kusoma uwpo wa WasafiBet, PMBet, Betika na Meridianbet. Mengine ni yapi, na je huwa kweli watu huwa wanahsinda na kupata hela au wote huishia kuchangia kwenye mkoba wa kampuni na kubakiza wachache kama mheshimiwa kuhamasisha wengine